Zitto afanye haya kurudisha umaarufu wake

Zitto afanye haya kurudisha umaarufu wake

Pasco vipi unaweza kutupa muhtasari wa wana JF wanavyomuona rafiki yako ZZK? Je itabadili mtazamo wako sasa?
 
Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.

Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi CHADEMA ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.

Mkuu umesema ukweli.
 
jamani wapambe hapa ndio wabaya... yaani mpaka sasa eti bado wanamsupport MSALITI ZITTO? NA ZITTO NAYE INAONEKANA HANA UPEO WA KUJUA KUWA WAPAMBE WANAMZUGA ILI WALE tupesa alitopata katka ufisadi; Kweli nimeamini njaa ni kitu kibaya sana. Kumsupport Zitto eti kama kiongozi wa nchi ni lazima uwe na AKILI ZA MWENAWAZIMU.
 
Zitto hawezi kutakata hata kidogo, kwa mantiki hii hawezi kurejesha umaarufu wake tena!!! Aendelee kuwatumikia mafisadi na masalia wake!! Ila tulisema siku nyingi Zitto siku ataumbuliwa na ushahidi utakuwa wazi!! Ndege janza kakamatiwa kwenye katundu kadogo, Ben Saa8!! Bravo intelligensia!!
 
Ubaya au Uzuri wa JF unaweza kukujenga au kukubomoa,inategemea na attitude yako kama mwanasiasa.Alichoharibu Zitto kama kiongozi ni kujibishana kwenye majukwaa ya kijamii,angeenda mbali zaidi kwa kuitisha vikao vya chama chake na kumalizana huko na siyo kwenye majukwaa.
 
ndg yangu c anakuwa na mawenge ya kuanguka kisiasa km atashndwa kufafanua.
 
Back
Top Bottom