Naomba niingilie kati kidogo. Je kwa kuitendea nchi mema katika uongozi wako (ambayo ndiyo uliombea kura). Je ni kigezo cha kunyamazisha watu wasihoji chochote juu ya utawala wako ??!!. Je hicho ni kigezo cha kuharibu katiba ili mtu atawale maisha yake yote ?!.Nimekuuliza swali rahisi tu, nielezee hali ilivyokuwa kabla na baada ya Museveni na Kagame kuchukua nchi zao? Unashindwa kujibu. Sasa kati yangu mimi na wewe, nani mwerevu na nani "mjinga"?
Both Museveni and Kagame have been re-elected in free and fair elections by the majority of their people kwa kazi nzuri wanayofanya. Binafsi naamini kuwa Rwanda na Uganda zinawahitaji sana mabwana hawa kuongoza because they are beacons of unity and prosperity.Their retirement will result in disaster and probably another genocide.Naomba niingilie kati kidogo. Je kwa kuitendea nchi mema katika uongozi wako (ambayo ndiyo uliombea kura). Je ni kigezo cha kunyamazisha watu wasihoji chochote juu ya utawala wako ??!!. Je hicho ni kigezo cha kuharibu katiba ili mtu atawale maisha yake yote ?!.
Umeomba kura ki democracy ili uongoze vema na ulete hayo maendeleo, si unyamazishe kila anayehoji utendaji wako ?!. Mfano wa Rwanda na Uganda ni mfano mbaya kwa Tz kuiiga .
Wataishi na kutawala mpaka lini mkuu ?! Ni vizuri nchi, ikiwa na utaratibu mzuri wa kurithishana madaraka, kutoka mtu moja hadi mwingine, na kutoka chama kimoja hadi kingine bila figisu wala hila. Haya yanawezekana tu viongozi wetu wakiacha ubinafsi, utemi, umwinyi na umangimeza na kutanguliza katiba nzuri ya wananchi.Both Museveni and Kagame have been re-elected in free and fair elections by the majority of their people kwa kazi nzuri wanayofanya. Binafsi naamini kuwa Rwanda na Uganda zinawahitaji sana mabwana hawa kuongoza because they are beacons of unity and prosperity.Their retirement will result in disaster and probably another genocide.
Ungetusaidia kutudokezea cha kuonyesha pamoja na kukiuka haki za binadamu na kutoheshimu bajeti iliyopitishwa. Pia uchumi kukua kwa kinyume na ulinzi wa kufa mtu kumlinda anayejijua hapendwi.Akisema serikali haina la kuonyesha kwa umma 2020.
Si kweli. Hata kama hatumpendi lakini si kwa design hii.
Ungetusaidia kutudokezea cha jiwe kuonyesha pamoja na kukiuka haki za binadamu na kutoheshimu bajeti iliyopitishwa. Pia uchumi kukua kwa kinyume na ulinzi wa kufa mtu kumlinda anayejijua hapendwi.Akisema serikali haina la kuonyesha kwa umma 2020.
Si kweli. Hata kama hatumpendi lakini si kwa design hii.
Kumshinda Magufuli labda Mungu aingilie kati ila si binaadamu wala shetani..!I will stand against huyo mshamba next year in 2020, mark my words, na nitamshinda huyo bwanako mapema sana asubuhi tu
HahahahahahahaahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhaahahahahahaKwa uwezo nilio nao kwa sasa Zitto huwezi kuja na upuuzi huu ukanirubuni
Ok , pole , jaribu kusoma historia za uongozi hasa wa kidunia ndio utaelewa japo kidogo utaacha kuloloma, soma hata vitabu vya dini , utaelewa kidogo , kudukua simu hakujaanza leo tokea simu zimevumbuliwa na udukuzi ndio ulipoanza , hivyo hakuna jipya chini ya jua, yote ni ubatili.Ni kweli mimi sio kamanda hata wa sungu sungu wala siutaki na hata nikiwa nao siwezi kuongoza kwa kuishia kudukua simu zao. Uongozi ni mgumu hilo sina ubishi nalo lakini sio huu ugumu wa kila anayekukosoa uishie kuwatumia watu wasiojulikana. Na kama ni mgumu ni kipi kinafanya zitumike mbinu za kikatili na wizi wa kura wa kishenzi kuendelea kubaki madarakani? Toka nje ya box unageuzwa fala kwa kuaminishwa uongozi ni mgumu, lakini wanaosema hivyo wanapanga kukaa zaidi madarakani!
LaAkili za kuambiwa, changanya na zako. Anza kujiuliza Zitto anapata wapi taarifa ya nana hiyo toka TISS. Unadhani ripoti kama anayo angeacha kuirusha kwenye mitandao ili ajipatie umaarufu zaidi? Upuuzi mtupu.
Labda kama tunaishi nchi mbili tofauti. Mi naishi kijijini kama mkulima wa kisasa. Napata feedback nzuri sana kwa wananchi. Zitto hapo kadanganya.Ofcourse TISS kabla ya uchaguzi huwa wanafanya utafiti wao kujua nani anakubalika mbele ya wananchi.
Kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015, ilikuwa around 2013/2014 na kabla ya Lowasa kuhamia Chadema Ripoti ya "KITENGO" ilionyesha kuwa miongoni mwa possible candidates nchini, Magufuli anakubalika sana kwa wananchi
Sasa sishangai tena ripoti kama hiyo ya TISS kuonyesha kuwa hakubaliki, Huwa wanafanya utafiti kujua hali ya kinchi inakwendaje.
Kinachomkwamisha JPM ni Uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi na Demokrasia na haki za binadamu
Maisha ya watu yako duni, biashara zinakufa, Kilimo ambacho kinagusa watu wengi hajakipa kipaumbele, Hali ya usalama wa raia (mambo ya utekaji) ni ya mashaka, uonevu kwa wapinzani, wananchi hawapendi mambo ya maguvumaguvu kwenye siasa, ajira kwa vijana ni ngumu, Maslahi ya wafanyakazi yamesahauliwa, Stahiki za wastaafu zinapigwa danadana etc
Amebaki kuonyesha SGR, Stieglers, Flyover, Uwanja wa Ndege Chato, Daraja la baharini la Salender etc
URAIS NI ZAIDI YA UJENZI
Taarifa zinadokeza kwamba ripoti ile imejaa ukweli mtupu !Ripoti aliipata wapi