Anayeweza kurudi ni mwanachama aliyeondoka mwenyewe kwa ridhaa yake kama Kafulila. Zitto alivuliwa uanachama akakimibilia mahakamani ambako napo alikwaa kisiki. Sina hakika kama anaweza kurudi ijapokuwa katika siasa hakuna lisilowezekana.CHADEMA mrudisheni Zitto, atakuja na watu mpambane pamoja
(Japo atakuja na madeni pia si mbaya)
Mumfikirie jaman yule bado mtu mzuri tuAnayeweza kurudi ni mwanachama aliyeondoka mwenyewe kwa ridhaa yake kama Kafulila. Zitto alivuliwa uanachama akakimibilia mahakamani ambako napo alikwaa kisiki. Sina hakika kama anaweza kurudi ijapokuwa katika siasa hakuna lisilowezekana.
Daily errands mishahara kodi za ofisi magari maintainance etcAfafanue wanadaiwa na nani na kwa sababu zipi?
Ruzuku na ada za wanachama zinafanya kazi gani? vinginevyo chama kitakufa.Daily errands mishahara kodi za ofisi magari maintainance etc
Na ccm. Walikopeshwa magariAfafanue wanadaiwa na nani na kwa sababu zipi?
Sijaelewa vizuri mkuu, CCM waliwakopesha ACT?Na ccm. Walikopeshwa magari