Kwani alichosema Slaa ni uwongo?kwani hilo shangingi lilinunuliwa na kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani yeye si alilikuta tu, na ataliacha hapohapo ili Zitto aje atembelee siku atakapo kuwa mwenyekiti wa kambi rasimi ya upinzani.
CHADEMA ni wa laghai katika lipi,kwani wao wamekwambia kuwa wanaamini katika siasa za ujamaa mpaka uwachukie kwa kuwa wanatumia mashangingi ambayo ni sawa na hosptali 4.
Mimi naona utakuwa umepotea njia,mtu wa kumchukia ulitakiwa umchukie yule anae hubiri siasa za ya ujamaa lakini mwenyewe ana miliki magari ya kifahari na mali kadhaa za mabilioni halafu ana taka wenzake waendelee kutembea kwa train ya mjerumani.
Wana Ukumbi,
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!
Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.
Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!
Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
View attachment 246214
Kwa usanii mwanangu Zitto nakuaminia hebu kula like yangu mwanangu.Wana Ukumbi,
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!
Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.
Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!
Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
View attachment 246214
Mkuu hivi hujui kuwa hao ni mawakala wa CCM-Magamba hivyo Mwigulu yupo nyuma yake pamoja na mamvi?Ombi la kuongezewa milioni 700 na nani? Kama ni kutoka serilkalini, jee chama hiki tayari kimeanza kupata ruzuku toka serikalini?? Kama ni kutoka kwa wafadhili, ni uwekezaji, msaada, mkopo au msaada tu??
Hii dunia ina maajabu, fisadi kama zito unamlinganisha na Nyerere?
Kamwulize tu source za mali zake zote ni nin halaf hapo amekuwa mbunge tu na ulinganishe na miaka 24 ya urais wa Nyerere na mali zake
unaweza kumdanganya kipofu njia ila wanaona sidhan labda kama zinafanana na zako
Nahitaji uangalifu sana kuchangia mambo ya huyu kijana maana toka ACT imeZinduliwa nimekula ban mbili
Wana Ukumbi,
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!
Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.
Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!
Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
View attachment 246214
Treni kapanda Kinana na Nape sembuse Yeye bana.
Mimi siko mbali na wewe lakini,sioni mahali walipokosea kwani hakuna ubishi kuwa si kweli kuwa watumishi wa serekali hawatembelei magari ya serekali.Mkuu tukundane kiongozi unatakiwa kuwa mfano ili watu wengine wakufuate, huwezi kusema njia hii mbaya harafu unapita njia hiyo hiyo lazima utaitwa mnafiki
Chadema tuliwakubali kwa sera zao za kupinga ufisadi na kutetea wanyonge lakini walichokwenda kufanya kila mmoja alibaki kushangaa!!! Kweli hawa ndio waliokuwa wanapinga matumizi ya anasa ya serikali? Mbona nao wametopea ktk hayo hayo?
Kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani alitakiwa kulikataa kama alivyofanya mwanzo kabla ya kulirudia ili iwe fundisho kwa serikali. Na ingeleta mashiko kuendelealea kuishambulia serikali kwa matumizi ya anasa. Je leo anaweza kusimama nakupinga matumizi ya mashangingi ikiwa yeye mwenyewe analitembelea?
Mkuu jitambue uwaangalie kwa jicho la pili utawatambua kwa rangi zao halisi.
Kwa usanii mwanangu Zitto nakuaminia hebu kula like yangu mwanangu.
Mimi siko mbali na wewe lakini,sioni mahali walipokosea kwani hakuna ubishi kuwa si kweli kuwa watumishi wa serekali hawatembelei magari ya serekali.
Alichokisema Dr silaa na Mbowe ni kweli kabisa,sasa suala la kuacha kuvitumia ili waendane na kile wanachokisema wanaweza kuachaje wakati serekali iliyopo madarakani ndio inayowataka watumie vitu kama hivyo na serekali yenyewe ndiyo iliyovinunua ili wavitumie kulingana na nafasi zao na hakuna sehemu yoyote ambayo serekali imebainisha wazi kuwa kama hutaki kutumia shangingi basi utumie gari la kiwango fulani.
Na akisha kataa kutumia shangingi lililonunuliwa na serekali kitakachofuata ni kitu gani,kwamba achukue hela zake za mfukoni akanunulie gari analo litaka yeye,na baada ya kununua gari hilo kwa fedha yake serekali italipokea na kuruhusu litumike wakati wadhifa alionao ana takiwa atumie shangingi tena mali ya serekali.
CHADEMA walichokuwa wanajaribu kukifanya hapa ni kuishauri serekali iachane na maisha ya anasa ili fedha ambazo zinatumika kununulia mashangingi ziweze kutumika kwenye huduma za kijamii na hakuna mahali popote walipojifunga kuishi tofauti na maisha ya serekali iliyopo madarakani.
Kama serekali ingekubali ushauri wao ina maana kuwa isingeweza kununua mashangingi yanayotumika hivi sasa hivyo mwenyekiti wa kambi rasimi ya upinzani angejikuta moja kwa moja ana tumia gari tofauti na shangingi kwa kuwa ndilo lililokuwepo.
Kumtaka mwenyekiti wa kambi rasimi kuacha kutumia shangingi kwa kuwa ana amini kuwa ni gari ya anasa ni sawa na kusema kuwa asilipe ada ya shule kwani yeye na chama chake wanaamini kuwa elimu ya bure inawezakana wakati serekali iliyopo madarakani inataka walipe ada.
Mlagai na muongo ni yule ambaye ametangaza waziwazi kuwa ameamuwa kufuata siasa za ujamaa lakini haishi katika maisha kama hayo.
Aliye sema kuwa kuna wakubwa wameficha fedha uswiss walipomtaka athibitishe akashindwa kuthibitisha,wakamwambia kuwa kwa kuwa umeshindwa kuthibitisha basi wewe ni muongo,chukukua karatasi uandike kuwa mimi ni muongo na uweke sahihi yako na yeye akakubali kuandika na kuweka sahihi kuthibitisha kuwa yeye ni muongo.
Mtu wa aina hii ndiye muongo na mlaghai asiyefaa katika jamii na sioni adhabu itakayomfaa hapa duniani labda kwa Mungu ndiko anako weza kupata adhabu yake sitahiki.