huyu jamaa haishi unafiki!!!!
Zitto hana haja ya kutafuta sifa Alikataa posho, alikataa gari la mbunge. Hayo yote yanatosha kumpa sifa.
Sababu kubwa ya kupanda treni ni katika hali ya kuishi kile anacho kihubiri kila siku - ujamaa.
hii yote ni circus. akawaghilibi waha wenzake kule mwandigaWana Ukumbi,
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!
Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.
Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!
Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
Zitto vijana wana bet ili kutoka kimaisha wewe unahubiri Ujamaa? Mafisadi wanaitwa wajanja wewe unahubiri Ujamaa? Umeshiba mema ya nchi kwanza halafu unajificha nyuma ya Ujamaa? Hivi mjamaa unamjua au unawaona watanzania hamnazo nini?
You mean kaacha Hummer nyumbani !
kama ana Hummer GARI la ubunge ni kitu gani?Zitto hana haja ya kutafuta sifa Alikataa posho, alikataa gari la mbunge. Hayo yote yanatosha kumpa sifa.
Sababu kubwa ya kupanda treni ni katika hali ya kuishi kile anacho kihubiri kila siku - ujamaa.
wana ukumbi,
kama watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi act ndio chama sahihi!
Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.
Katika kutekeleza hilo, zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo act imeyakusudia kwa awamu ya pili!
Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya act ni ukumbusho wa ujamaa wa mwalimu wakati wa ccm ile ya enzi za azimio la arusha.
Wana Ukumbi,