Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

Ni maigizo. Kua kipindi watu walisema helkopta ni aghali na u fulani wa hela, tunaona sasa karibu wote wanaenda huko. Usishangae nae karibuni akapeleka huko huko! Ujamaa wa maigizo hauduma na hasa katika mazingira ya sasa duniani. Hata wachina na watu si hawako huko tena.

Unajua kama kuna rais anatembelea bito wewe?

Huu upuuzi wa kushabikia viongozi kutembelea Ma-V8 unatuumiza sisi wenyewe...halafu wewe badala uwe mmoja wa wanaosupport viongozi wanaojali matumizi ya raslimali...unabaki eti kuponda!?!

Uwa nakuona wa maana sana...ila katika hili uneniangisha mno na nimeanza kukudharau mkuu.
 
Wana Ukumbi,
K
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
Ni maigizo. Kuna kipindi watu walisema helkopta ni aghali na ufujajii wa hela, tunaona sasa karibu wote wanaenda huko. Usishangae nae karibuni akaelekea huko huko! Ujamaa wa maigizo hauduma na hasa katika mazingira ya sasa duniani. Hata wachina na warusi hawako huko tena.
 
Wana Ukumbi,

Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.

Ngojea tutaona baada ya uchaguzi kama wakipata mbunge atatumia treni au basi kwenda kwenye vikao dodoma!
 
Unajua kama kuna rais anatembelea bito wewe?

Huu upuuzi wa kushabikia viongozi kutembelea Ma-V8 unatuumiza sisi wenyewe...halafu wewe badala uwe mmoja wa wanaosupport viongozi wanaojali matumizi ya raslimali...unabaki eti kuponda!?!

Uwa nakuona wa maana sana...ila katika hili uneniangisha mno na nimeanza kukudharau mkuu.
Subira yavuta kheri na mwaka hautapita kabla ya kuona maajabu. Ni mwanasiasa anaongoza chama cha siasa kama walivyo wanasiasa na vyama vyao!
 
Ngojea tutaona baada ya uchaguzi kama wakipata mbunge atatumia treni au basi kwenda kwenye vikao dodoma!

Kuna wenzako walikuwa wakisubiri hivyo hivyo Zitto apokee posho baada ya kutangaza kuwa hatopokea posho za bungeni....hadi leo hii wanaendelea kusubiri na wengine wameona wamuache tu!

Zitto hana tamaa za kipuuzi mkuu. Ni mwanasiasa adimu kuwahi kutokea nchini. Na Watanzania wameliona hilo na ndio maana anaungwa mkono pamoja na majungu yote yanayopigwa na maadui zake ( maana wengine wanatangazq hadharani kabisa)!
 
Subira ya vita kheri na mwaka hautapita kabla ya kuona maajabu. Ni mwanasiasa anaongoza chama cha siasa kama walivyo wanasiasa na vyama vyao!

Kumbuka ni huyu huyu Zitto ambae aliacha kupokea posho na ni huyu huyu ambae aliacha kuteembelea gari ya mbunge.

Huwezi kumfananisha na wanasiasa wengine mkuu.
 
ACT ni jeshi la mtu mmoja. Haina tofauti na NCCR ya Mrema. Hiki ni chama ambacho kimeshindwa kujenga base, na kubaki kujiuza kwa kupitia jina la Zitto tu. Hakuna namna unaweza kwenda kumshawishi mtu ahudhurie mkutano wa ACT pasipo kumtaja Zitto. Na yumkini walio wengi wanakuja kwenye mikutano kwa nia tu ya kutaka kumfahamu Zitto na si lingine.

Ninaogopa kuwashauri mashabiki wa Zitto msije mkanirushia mawe. But kwa uhakika kabisa, sioni cha maana ambacho anakifanya Zitto kinachomtofautisha na wapinzani wengine. Zaidi sana, ni ukweli kuwa ACT inabebwa na jina la kiongozi wake na si sera zake. Hakuna mtu yeyote atakayevutiwa na hadithi ya sera za ujamaa hii leo, itikadi ambazo zilishindwa kufanya kazi mahali pote duniani. Kusema ukweli sioni lolote la maana zaidi ya blabla tu.

Sio dhambi chama kikiwa na mtu mwenye mvuto wa kisiasa.
 
Kumbuka ni huyu huyu Zitto ambae aliacha kupokea posho na ni huyu huyu ambae aliacha kuteembelea gari ya mbunge.

Huwezi kumfananisha na wanasiasa wengine mkuu.
Narejea tena subira yavuta kheri. Kwa sasa ana majukumu makubwa sana yenye changamoto ya kipeke, anaongoza taasisi na si matakwa yake tu yatamuongoza bali nje yake na atalazimika wakati mwingine kutenda hasiyoyataka...
 
Inawezekana ameishiwa mafuta yawezekana lile ombi la kuongezewa dau la mil.700 limebuma.

Ombi la kuongezewa milioni 700 na nani? Kama ni kutoka serilkalini, jee chama hiki tayari kimeanza kupata ruzuku toka serikalini?? Kama ni kutoka kwa wafadhili, ni uwekezaji, msaada, mkopo au msaada tu??
 
Unafiki mtupu. Bado tunsmtaka aueleze Imma wa watanzania, ni nani anafadhili hiyo mikutano ya chama chake

watu wengne hasara sana kwenye nchi hii,hiv we mchaga elimu yako uliipatia wap?zito keshajibu anapotoa fedha ni palepale walipokua wanaomba akiwa chdm wataka jibu gan tena?cha msing waulize vichaa wenzako fedha za ufadhili walikua wanazitoa wap hapo utapata jibu,mbona jambo dogo sana hili.
 
Zitto ni Strategic Man. Namkubali sana huyu kijana. Nimekaa nje ya ulingo wa siasa nikakubali huyu Zitto mmoja ni sawa sawa na kuchukua vigogo zaidi ya kumi wa chama kikuu cha upinzani.
 
zito usaliti wake ni kua mzalendo hicho ndo nakiona,mana wachaga wakitaka biashara yao iende mbele watafanya kila wawezalo
 
Atangaze Kuuze hUmmer anunue vitanda mahospitalini

Ujamaa ni kugawana na masikini hummer.jpg
 
Ombi la kuongezewa milioni 700 na nani? Kama ni kutoka serilkalini, jee chama hiki tayari kimeanza kupata ruzuku toka serikalini?? Kama ni kutoka kwa wafadhili, ni uwekezaji, msaada, mkopo au msaada tu??

hebu mliwaze baba watoto wako,hii hoja ishaoza kitambo
 
Wana Ukumbi,

Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.

Zitto anafanyakazi ya kukijenga chama chake na kufungua matawi, Kinana anafanyakazi ya kuhimiza maendeleo na kusimamia ilani ya chama chao, ila hawa jamaa wanaofanyakazi ya kufagia nyayo za zitto hapa kawapiga chenga, treni iko moja na inapita maramoja kwa wiki sasa sijui watatumia helkopta kumfatilia? wananchi wanaona viongozi wao wa mitaa wanavyofanya hivyo hawahitaji kudanganywa na mtu.
 
Kila unapo katiza zzk ukijaribu kuuliza kwani huyo zzk ninani wanakupa jib jepes tu,niyul mtetez wa wanyonge,nachoka mie
 
Back
Top Bottom