Zitto achoka kuvumilia

Hapa ndipo ccm walipotukisha kwa kuwageuza polisi kuwa wanasiasa. Na sitashangaa kusikia rpc arusha amepandishwa cheo kama yaliyotokea kwa mwenzake wa iringa
 
ha ha haaa chama sie watu wazima tunajua kiongozi wa nchi ni mfalme
sijajua nyie mliozaliwa miaka hii mnawaita ni akina nani,[
lakini mpaka hapa najua tupo sawa.

Naamini siwezi kugombana naye tena
japo hapo mwanzo nilimkosea lakini nimejua
what i done wrong, na najua ulishaniombea msahama kwake.

Kwa sasa niko kundini ni nyie tu msijenitenga tena.

UOTE=chama;6621601]Mamndenyi
Bado najiumiza kichwa hivi Tanzania kuna mfalme? mimi najua kuna nabii ila tu nakuhakikishia kama itatokea utagombana na huyo mwana wa mfalme au sultani nibeep tu nitaismamia hiyo kesi na nakuhahakishia kwa 150% utashinda na kila kitu kitakuwa shwari![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Azimio la arusha lilianzia Arusha,yanayotokea arusha yananikumbusha kitu fulani
 
Back
Top Bottom