Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
CDM wapole mno. Mnasingiziwa dhambi sana na hao madubwasha magamba. High time to take alternative action.
kumbe na wewe umeona ee?
CDM wapole mno. Mnasingiziwa dhambi sana na hao madubwasha magamba. High time to take alternative action.
Inaumiza sana. Ukisikia watu walioumia tukio la kinyama Arusha inaumiza. Mtoto anaona Mtu aliyevaa nguo za polisi anampiga Risasi, mtoto huyu daima atawaonaje polisi. Mpaka lini unyama huu utaendelea? Halafu watu wanafanya siasa. Raia wamekufa. Tuvumilie kweli?
View attachment 98229
ZITTO : facebook na twitter.
Sijui niseme Chadema tumekua wapole sana au ni kwasababu tumekuwa watu wakutoa matamko kiasi kwamba imefika mahali Serekali ya CCM imeshatuzoea kwamba hatuna lolote zaidi ya kutoa matamko?
Hii imekua ni sawa na Panya kumzoea Paka, kiasi kwamba panya anaweza kumchezea paka kwa kila mchezo huku paka akiwa hachukui hatua yoyote ile zaidi ya kulia kwake.
Ifike mahali Chadema tuseme "enough is enough" haiwezekani kila siku tumekuwa watu wakuonewa kiasi hichi. Watu wanauliwa na wengine kujeruhiwa vibaya kila siku.
Kwani kila anayevaa nguo za polisi ni polisi? Mbona Zitto hapa unashindwa kutumia utashi na uchunguzi wako? Je mtoto huyo anaweza kumtambua ni polisi yupi alifanya hivyo?
Ifike wakati JF tujiulize maswali kabla hatujarukia hitimisho. Vurugu zinazo tokea nchini zinaratibiwa kwa lengo la kulidhalilisha jeshi la polis ili wananchi wakose imani nalo na hivyo kusababisha mapinduzi! Naamini waarifu wanatumia mavazi ya polisi katika kufanikisha adhima yao huku CCM na CDM wakiparuana kwa faida ya waarifu hao.
Very simple CDM na CCM hawana uzalendo hata kidogo. Kama kweli vyama hivi ni vyakizalendo vingeshirikiana kulinda amani badala ya kunyoosheana vidole. Ni ubabaishaji.
Pia kitendo cha kumwachia kwa dhamana mtu aliyeonekana akipanga mikakati ya kuvuruga amani ni kitendo cha ajabu, kusikitisha, na kuwatia moyo waarifu. Waarifu sasa wanajua hakuna serikali wala mkono wa sheria. Ungekuwapo, Murji, Lipumba, Lwakatare, Ponda, na aliyepiga bomu kanisani wangekuwa jela. Ni Tanzania tu utakuta kesi ya uuaji inaamuliwa kama kesi ya wizi wa toothpick!! Tumeharibikiwa kila sector!

Chadema ni kama mbwa anayebweka nyuma ya Bosi wake. Vipi utakuwa kamanda kwa sare tuu????? Tuingie msituni au vipi washkaji??? Tuko tayari kuyaacha makasino yetu pale Shikilango????
Umbeya wa fb uacheni hukohuko; nyie Chadema mahodari wa kuvalisha watu sare za polisi na jeshi sasa mnashangaa kitu gani? mambo myatengeneze wenyewe kulaumu mlaumu serikali! yeye Zitto anajuwa wazi Chadema hatakiwi kuna mambo mengi nyeti ya kidhalimu hashirikishwi ajiulize katibu hayupo yeye ndiye anayoikaimu nafasi hiyo kwa vitendo??
cc Mamndenyi; Ritz; Chilisosi
Mjinga kama mkojo wa panya jike wewe
Mamndenyi