Sasa zimekuwa ndizo sera za serikali ya ccm, kila mahali wanapozuiwa kupora wanawaua raia kwa kuwatumia wanajeshi na polisi. hayo ya Arusha na Mtwara yanatisha zaidi, njooni mutuone tunavyopigwa na kuuawa na hao wanajeshi JW na Polisi Hakika hatuna nchi nzuri tenaView attachment 98232
Sijui niseme Chadema tumekua wapole sana au ni kwasababu tumekuwa watu wakutoa matamko kiasi kwamba imefika mahali Serekali ya CCM imeshatuzoea kwamba hatuna lolote zaidi ya kutoa matamko?
Hii imekua ni sawa na Panya kumzoea Paka, kiasi kwamba panya anaweza kumchezea paka kwa kila mchezo huku paka akiwa hachukui hatua yoyote ile zaidi ya kulia kwake.
Ifike mahali Chadema tuseme "enough is enough" haiwezekani kila siku tumekuwa watu wakuonewa kiasi hichi. Watu wanauliwa na wengine kujeruhiwa vibaya kila siku.
Inaumiza sana.
Ukisikia watu walioumia tukio la kinyama Arusha inaumiza. Mtoto anaona
Mtu aliyevaa nguo za polisi anampiga Risasi, mtoto huyu daima
atawaonaje polisi. Mpaka lini unyama huu utaendelea? Halafu watu
wanafanya siasa. Raia wamekufa. Tuvumilie kweli?
View attachment 98229
ZITTO : facebook na twitter.