Nimekuuliza suala la ripoti... mbona unaruka ruka tu jombaa?!Zito humjui.? Alianza kutudanganya kwenye ndege kuwa ni mitumba used, akaja ripoti ya upotevu wa trilioni 1.5.. sasa hivi amedakia accacia... Zito ni muongo mno
Nimekuuliza suala la ripoti... mbona unaruka ruka tu jombaa?!Zito humjui.? Alianza kutudanganya kwenye ndege kuwa ni mitumba used, akaja ripoti ya upotevu wa trilioni 1.5.. sasa hivi amedakia accacia... Zito ni muongo mno
Hiyo ripoti ya aaccacia alioiandika twtter ni ya uongoNimekuuliza suala la ripoti... mbona unaruka ruka tu jombaa?!
Sema mikataba mibovu ya ya selikari ya chama chetu CCMUtawala wa sheria lazima uzingatiwe. Kama mahakama halali imeona tunahatia na kutoa hukumu hiyo lazima tukubali hukumu hiyo. Hivyo lazima tulipe au tukate rufaa. Bahati mbaya mahakama hizo za kimataifa hazina kukata rufaa, sana sana ni kuomba review ya mahakama hiyo hiyo: kitu ambacho kinaweza kuwa ni kupoteza muda tu na fedha. Hayo uliyoyataja ya ahadi ya sh 50m kila kijiji na mengineyo hayawezi kuwa sababu ya kuomba rufaa au ya kutotekeleza hukumu hiyo ya mahakama. Haya ndiyo matokeo ya mikataba mibovu tuliyoingia huko nyuma enzi za akina Chenge. Lazima tulipe. Tulifanya makosa lazima itu cost. Yaliyopita si ndwele, tunaganga yajayo ambayo yatafurahisha!
Ipo wapi hiyo report anayoisoma?. Yasijekuwa yale yale ya kushtakiwa MIGA.Kwahiyo Mkuu Bukililo, maneno hapa chini kwa tafsiri yako ina maana ni "maneno ya kusikia?"
View attachment 856125
Nini kinachokufanya uone uongo wakati arbitration reports zimekuwa zikipatikana?Hiyo ripoti ya aaccacia alioiandika twtter ni ya uongo
Kwahiyo ulitaka umuone hapo Twitter akiisoma hiyo ripoti, au?!Ipo wapi hiyo report anayoisoma?. Yasijekuwa yale yale ya kushtakiwa MIGA.
Huwa mnafurahisha sana mnapofanya kazi ya ushirikina na upigaji wa ramli.Kwahiyo ulitaka umuone hapo Twitter akiisoma hiyo ripoti, au?!
Nyie watu mnapoleta suala la MIGA huwa mnafurahisha sana!!
In short ni kwmba, as for now, bado Acacia hawana sababu ya kwenda MIGA!!
Ripoti za akina Mruma zilisema Acacia wanatakiwa kulipa TZS Trilion 425 Trillion... hadi sasa zimelipwa shilingi ngapi kati hizo 425T?
Aidha, likaja suala la kishika uchumba cha USD 300 Million... ni ngapi hadi sasa ambazo zimelipwa?!
Licha ya kushikiliwa makontena ya makinikia, shughuli za uchimbaji bado wanaendelea nazo kama kawaida!
Sasa kwanini kwa sasa waende MIGA wakati bado upepo mzuri bado upo upande wao!!!
Huyo hana ajuwalo zaidi ya uzwazwNimekuuliza suala la ripoti... mbona unaruka ruka tu jombaa?!
Pumbafu wewe unajuwa nini zaidi ya mihemuko na uchumia tumbo?Hiyo ripoti ya aaccacia alioiandika twtter ni ya uongo
Ccm wanatupeleka chakaSema mikataba mibovu ya ya selikari ya chama chetu CCM
Mbona ujaweka RichmondYaani yeye ujinga anaouwaza ni kupatika kwa ripoti si rahisi... badala ya kuwaza KWAMBA THE REPORT NI HEARTBREAKING......
Hustorically.....
1. Samaki wa Magu tulilipa...
2. Kituo cha mafuta kilichobomolewa Mwanza tulilipa...
3. Kituo cha mafuta Mlimani city tulilipa
4. IPTL tunalipa.....
Kwa LAWS za proportionality, wallah na hii ndude tutalipa....
Hiyo arbitration haijui maana yake maana yupo tu mramba viatuNini kinachokufanya uone uongo wakati arbitration reports zimekuwa zikipatikana?
Mimi bado naisubiria NoahKwahiyo ulitaka umuone hapo Twitter akiisoma hiyo ripoti, au?!
Nyie watu mnapoleta suala la MIGA huwa mnafurahisha sana!!
In short ni kwmba, as for now, bado Acacia hawana sababu ya kwenda MIGA!!
Ripoti za akina Mruma zilisema Acacia wanatakiwa kulipa TZS Trilion 425 Trillion... hadi sasa zimelipwa shilingi ngapi kati hizo 425T?
Aidha, likaja suala la kishika uchumba cha USD 300 Million... ni ngapi hadi sasa ambazo zimelipwa?!
Licha ya kushikiliwa makontena ya makinikia, shughuli za uchimbaji bado wanaendelea nazo kama kawaida!
Sasa kwanini kwa sasa waende MIGA wakati bado upepo mzuri bado upo upande wao!!!
Btw, hoja ya Tundu Lissu ilikuwa ni kwamba, ili hawa jamaa uweze kuwabana vizuri, Tanzania ijitoe kwanza MIGA ambako wanaweza kukimbilia!!
Yaani ikiwa bado mnashindwa kuona umuhimu wa ushauri mzuri kama huo, then you guys got big problems...
Nyie mnapojitoa akili kisa mpate uteuzi ndio mnalipotosha taifaHuwa mnafurahisha sana mnapofanya kazi ya ushirikina na upigaji wa ramli.
Na hata ile taarifa ya TANESCO kutakiwa kulipa bilioni kadhaa bila shaka kwako ni ushirikina na upigaji ramli!Huwa mnafurahisha sana mnapofanya kazi ya ushirikina na upigaji wa ramli.
Yaani kuna baadhi ya vichwa mtu unaweza kujiuliza hivi ndani yake kuna nini!!!
Tunahitaji Noah zetuUnaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninao tena mkubwa sana, mimi siasa hainipi kula yangu, infact I do help a lot of young upcoming politician, huyu Zitto ambaye unafhani hakoseleki, mimi nimeshangai campaign zake mara nyingi sana tena nikiwa mwanachama mwenye kadi ya CCM lwa miaka 20 sasa. Mimi hua ninatoa michango yangu kwa wanasiasa ninaowaona wana uwezo mzuri wa kusaidi kwao na nchi, na sichagui chama.
Pengine hatutashangaa iwapo serikali itawaanchia huru akina Sethi na Rugemalira (iwapo wata-enter plea) kwa makubaliano na serikali kuwa wafungue kesi ya madai dhidi ya Stan Chart Hong Kong na Mechmar [iwapo bado ipo maana tuliambiwa wajanja wale waliishajitangazia kufiliska] wakiomba/wakitaka ufafanuzi wa kisheria wa uhalali wa umiliki wa IPTL.Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao
Paskali, hii siyo. Serikali ina ushahidi wa kutosha kuonesha vitendo vya kughushi na ulaghai uliofanywa na Acacia.Acacia kiukweli kabisa, dhamira yangu inaniambia tutapigwa!.