Zitto aache upotoshaji

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?

Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..

#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini
IMG_20180903_213731.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20180903_213736.jpg
    IMG_20180903_213736.jpg
    66.6 KB · Views: 78
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?

Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..

#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umewahi haraka hivyo kwani wasiwasi wako nini?

Sisi tunasubili Noah zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma-CCM bhana...

Yaani unaona kabisa wameandika ",,,doeesn't publish WITHOUT halafu una-conclude kwamba hawachapishi?!

Hivi mtu akiandika "... you can't enter the examination room WITHOUT a pen; ina maana wamesema HUWEZI kuingia kwenye chumba cha mtihani?
 
Pande mbili zikiridhia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?

Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..

#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079

Sent using Jamii Forums mobile app

Tundu Lissu alisema cha ajabu akaambulia kutendewa unyama na WASIOJULIKANA.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?

Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..

#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Masiga, wewe ndio uache upotoshaji, kwa vile nyingi ya arbitrations ni mashauri ya kimataifa ambayo matokeo yake huwa ni final and conclusive, ili hiyo awards iweze kutekelezwa, it has to be registered kwenye domestic laws kwa kusajiliwa Mahakama Kuu yetu ili ziweze kupata forces of law ziweze kutekelezwa. Local laws zetu hazina hiyo clause, hivyo kila mtu atajua, ndio maana tuliijua tozo ya dowans, na kwa taarifa, ililipwa japo kwa siri!. Juzi bombadier zetu zilishikwa Canada, tumelipa!. Hizi pesa za Stan Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao.
Acacia kiukweli kabisa, dhamira yangu inaniambia tutapigwa!.
P
 
Pande mbili zikiridhia...

Sent using Jamii Forums mobile app
The problem unachanganya mambo!

Wanaweza wasi-publish but both parties zitakuwa na ripoti husika... Loser and Winner! That having said, Zitto anaweza kupata ripoti toka kwa Loser or a Winner!! Na ikiwa hata government reports with CONFIDENTIAL/TOP SECRET Stamps bado huwa zinawafikia unauthorized eyes, seuze hizo!!

Hoja yako ingekuwa na mantiki IF AND ONLY IF ungekuwa umeiona hukumu husika na kujiridhisha kwamba inasema kinyume na madai ya Zitto!! Kinyume cha hayo, ni wewe ndie unataka kupotosha watu hapa!!
 
Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?

Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..

#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079

Sent using Jamii Forums mobile app
Wikiliki ndugu!!
 
lipeni kwanza case ya IPTL kabla hamjafungua kinywa chenu. Lissu alikuwa sahii alipo sema kuwa magufuli sio wa kwanza kuundatume ya madini. pia alisisitiza kuwa mtamuambia kama vita hii magufuli atashinda,,,,,
 
Ma-CCM bhana...

Yaani unaona kabisa wameandika ",,,doeesn't publish WITHOUT halafu una-conclude kwamba hawachapishi?!

Hivi mtu akiandika "... you can't enter the examination room WITHOUT a pen; ina maana wamesema HUWEZI kuingia kwenye chumba cha mtihani?
Chige uko vizuri maana hii mijitu ya kijani inakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZZK kaileta hiyo habari katika mfumo wa kimbeya, mfumo ule ule wa Twitter na Facebook mfumo wa kusema nasikia.

Yale yale TL akiwa kule Belgium anasema nasikia kwamba hizi ndege ni mbovu, hajui kwamba kuna watu wapo karibu na jiko kuliko yeye aliye sebuleni.
 
Back
Top Bottom