Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Kwa hiyo usiseme siyo shida kulipa....Utawala wa sheria lazima uzingatiwe. Kama mahakama halali imeona tunahatia na kutoa hukumu hiyo lazima tukubali hukumu hiyo. Hivyo lazima tulipe au tukate rufaa. Bahati mbaya mahakama hizo za kimataifa hazina kukata rufaa, sana sana ni kuomba review ya mahakama hiyo hiyo: kitu ambacho kinaweza kuwa ni kupoteza muda tu na fedha. Hayo uliyoyataja ya ahadi ya sh 50m kila kijiji na mengineyo hayawezi kuwa sababu ya kuomba rufaa au ya kutotekeleza hukumu hiyo ya mahakama. Haya ndiyo matokeo ya mikataba mibovu tuliyoingia huko nyuma enzi za akina Chenge. Lazima tulipe. Tulifanya makosa lazima itu cost.
Na ni kawaida yenu kuwataja watangulizi kwenye kila kosa