Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,427
- 4,796
Zitto Zuberi Kabwe mzee wa fursa. Kati ya vijana wajanja nchini nampa heko huyu jamaa kwenye tasnia ya Siasa. Ni sawa na Diamond platinumz kwenye muziki.
Kama vijana inabidi kuwa na macho ya kuona na kuchangamkia fursa kama huyu jamaa. Haibi, haui, hadhurumu kwa nini tumchukie.
Haki kwenye jamii inapatikana kwa kila mtu kuwajibika. Sio kumsubiria mtu kama Zitto atusemee. Big up Zitto