Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,039
- 3,486
Zitto is a hero as he knows how to maneuver around the battle to win the accoladeZito is a devil
Zitto is a hero as he knows how to maneuver around the battle to win the accoladeZito is a devil
Unamaanisha wanafiki walimuhama Lipumba kwenye chama cha CUF na kwenda kujiunga na wenzao kina Zitto huko ACT? Au unamaanisha nini mkuu kwa kusema Lipumba hana chama tena?
Kwanza tukubaliane kwamba hao ni ACT? Kisha niambie wanafanya nini kwa mfano cha kuwapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba? Twende kaziAmefilisika kisiasa, Hao unaowaita wanafiki ndio wenye unit inayojielewa Zaidi wanachokifanya hapa TZ
Zitto ni Tiss, ivi mpaka leo hamjajua tu,Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi.
Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na kumwaga kwenye wali. Wapinzani wanapokataa kushiriki uchaguzi wowote hadi tume, huru yeye ni wakwanza kushiriki uchaguzi. Kwa kifupi ni mbinafsi ambaye haeleweki. Zitto anatumika !
Uchaguzi ulioisha Muhambwe, wapinzani waligoma kushiriki, Yeye kashiriki. Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.
Huyu tu ni Kitengo cha CCM. Anatuadaa. Tumkatae na tukimuendekeza, kiu yetu ya TUME huru itabakia kuwa ndoto. Watanzania itabidi tumdhibiti huyu YUDA ISKARIOTI !
Kwanza tukubaliane kwamba hao ni ACT? Kisha niambie wanafanya nini kwa mfano cha kuwapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba? Twende kazi
Hapo tuko pamoja! Sasa niambie hiyo unit inayojitambua (ACT) wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba unayesema amefilisika kisiasa?Mkuu CUF imekufa, na Ile iliokua CUF imeibukia ACT + Zitto. huhitaji Tochi kuliona hilo.
Kama si figisu za CCM ACT ingeliondoka na ushindi Zanzibar pamoja na karibu 75% ya wabunge na wajumbe wa uwakilishi. Bara wangeliondoka na hata majimbo 10 ya ubunge.
Ngome za CUF zote zimegeuka kuwa za ACT, Lindi, Mtwara, Tanga, Zanzibar.
Hapo tuko pamoja! Sasa niambie hiyo unit inayojitambua (ACT) wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba unayesema amefilisika kisiasa?
Nakuuliza kwa mara ya tatu; hao ACT wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba?Mkuu CUF kimeshakufa, huna habari kama mpaka majengo ya chama wanauza wanakula pesa? Toke chama kipasuke unajua wameshabadilisha Makatibu na manaibu katibu wangapi mpaka sasa?
ACT ni second most influenced opposition party ndani ya nchi, na biggest party ndani ya Zanzibar tena Zaidi ya Chama tawala. Hebu jaribu kutemebelea Zanzibar uone jinsi kilivyo stable kuliko hata ilivyo CHADEMA Bara
Nakuuliza kwa mara ya tatu; hao ACT wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba?
Kabla sijakupa clip za Lipumba kwanza uniambie chama cha ACT wanafanya harakati gani zinazowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba?Hivi mara ya mwisho Lipumba ulimsikia lini? Hebu tafuta nyuzi zinazomuhusu Lipumba humu halafu utizame hao wachangiaje wake utajua tofauti ya ACT na Lipumba
Hata huyo mungu wenu Mbowe alisha wai tusaliti sisi wapenda mabadiriko,kwa kuuza nafasi ya urais kwa fisadi papa Lowassa according John Myika,wanasiasa wote ni sawa kila mmoja anatafuta furusa.Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi.
Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na kumwaga kwenye wali. Wapinzani wanapokataa kushiriki uchaguzi wowote hadi tume, huru yeye ni wakwanza kushiriki uchaguzi. Kwa kifupi ni mbinafsi ambaye haeleweki. Zitto anatumika !
Uchaguzi ulioisha Muhambwe, wapinzani waligoma kushiriki, Yeye kashiriki. Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.
Huyu tu ni Kitengo cha CCM. Anatuadaa. Tumkatae na tukimuendekeza, kiu yetu ya TUME huru itabakia kuwa ndoto. Watanzania itabidi tumdhibiti huyu YUDA ISKARIOTI !
Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi.
Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na kumwaga kwenye wali. Wapinzani wanapokataa kushiriki uchaguzi wowote hadi tume, huru yeye ni wakwanza kushiriki uchaguzi. Kwa kifupi ni mbinafsi ambaye haeleweki. Zitto anatumika !
Uchaguzi ulioisha Muhambwe, wapinzani waligoma kushiriki, Yeye kashiriki. Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.
Huyu tu ni Kitengo cha CCM. Anatuadaa. Tumkatae na tukimuendekeza, kiu yetu ya TUME huru itabakia kuwa ndoto. Watanzania itabidi tumdhibiti huyu YUDA ISKARIOTI !
The guy must change. Hs reputation is tainted !Hata Sina uhakika kama unaelewa maana ya neno lenyewe Demokrasia.
Zitto yuko sahihi. Chadema acheni siasa za kususa na kichwa ngumu.The guy must change. Hs reputation is tainted !
ZITTO Akajipange !Zitto yuko sahihi. Chadema acheni siasa za kususa na kichwa ngumu.
Hivi kweli bado haujajua ana shida gani?😝😝😝😝Sijui huwa ana shida gani huyu jamaa
Kama yule kinyonga uchwara wa kijani vile.Na nyie makamanda uchwara huwaga hamjielewi.