BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,024
- 4,301
Mpaka saivi sifa no:1 umechengana nayo.
kwanza kabisa, hako kajengo umepost hapo,ni maranatha hospital ya mwanjelwa Mbeya, wala sio kahama. Kuna siku nilibishana na mhaya humuhumu sijui alikuwa ni wewe, anasema wanaume wa kihaya ni mahandsome....nilimwonea huruma sana kwasababu hajijui. ila kwa kukusaidia kuongeza tu, umesahau kuwa wanaume wa kihaya kwa asili yao, huwa hawatahiri magovi, labda wachache walioelimika kwa kuzaliwa mijini.
ungeongelea kwa wanawake, ningecomment kwasababu enzi zangu nilikuwa na wapenda sana. hadi leo ni marafiki zangu hata kama uzinzi nimeacha.
Mbeya nakumbuka 2011, kulikuwa na kampen vua mkono wa swetamzee usikaze fuvu, wakurya na watu wa mbeya ndo wanaongoza kwa magovi sana
wahaya hawana uchafu huo
Zero Brain . Tatizo wewe ni Muhaya kwenye 85% ya takataka za KAGERA.
Wahaya wenye utashi ni 15% tu . Ukibisha natuma ushahidi.
Mbeya nakumbuka 2011, kulikuwa na kampen vua mkono wa sweta
huo ugonjwa hautakuja kufika kwenye hema yangu hata siku moja Kwa JIna la Yesu Kristo.We mbona muathirika ndio kusema unamkono wa sweta?
NBSTakwimu mchwara, umejitungia mwenyewe sio. Ruvuma inaizidi Tabora, kigoma, dodoma, kagera
Yes sir,Unowaamsei youknowwhatyousaid??
11.Bila kusahau mna tabia ya kunyanduliwa pia.Jambo Jambo?
Huwa nashangaa watu wenye nia mbaya na Wahaya na kuwapukazia maneno ya hovyo hovyo.
Niko hapa kuelimisha umma wa watanzania namna mwanaume wa kihaya anavyotakiwa kuwa.
1. Mwanaume wa kihaya wote lazima awe na uwezo mkubwa wa akili yani intellectual na big IQ na utashi mkubwa wa ku “reason”.
2. Wanaume wa kihaya wote tuna uwezo wa kunyandua/kubandua kwa uwezo mkubwa na kumridhisha mwanamke yoyote, kutokana na asili yetu toka enzi za mababu
3. Wanaume wa kihaya hawana ulimbukeni wa kujazana kwenye magari/mabus kama wale wa kabila la “kupenda hela” kila ifikapo mwezi wa December. Na wahaya kwa uchache wao wanaoenda Kagera wengi wanachukua mwewe chapu kwa haraka.
(Disemba wenzetu wanaoenda kule “kwa wapenda hela” wanajaza mabusi ila sisi bookings za ndege kwenda Kagera ndo zinajaa)
4. Mwanaume wa kihaya anajali mke wake, Hata kama ana mchepuko hawez kamwe kumdharau mke wake wa ndoa. Siyo kama wale wa pwani.
5. Wanaume wa kihaya Wengi wetu tupo kwenye vitengo mbali mbali vizito. kuanzia Nyerer mpaka huyu mama wa sasa, kwenye list ya washauri wa raisi hakujawahi kukosa mhaya awamu zote.(Rejea jamaa yule mwenye ulemavu wa ikulu)
6. Mwanaume wa kihaya, Huwa haridhiki na mali kidgo kama wale wenye mji wa “Dar es salaam” kupata mali moja inatushawishi kufuata nyingine na kupambana zaidi ndo maana mpka sasa kwenye list ya watu wanaoishi vzr wahaya wapo baada ya waarabu.
7. Wanaume wa kihaya wengi ni waaminifu hata ukitaka kumlambisha asali lazima akatae kwasababu ana miiko na uweledi wa kazi.
8. Wahaya mbali na kujua kunyandua vizuri,pia mpaka sasa sijawahi kusikia malalamiko kutoka kwa dada zetu juu ya maumbile yao kuwa madogo au wanasema “Kibamia” kutoka kwa mwanaume wa kihaya. Hii ni asili yetu kutoka enzi na enzi.
9. Mpaka sasa sijawahi kusikia shoga aliyetoka kabila la wahaya, hiyo roho imeshindwa kupenya kwa wahaya na badala yake imetawala kwengine huko na hasahasa huko dar kwa wala chipsi.
10. Wanaume wa kihaya wanajua kushika dini sawasawa na siyo washirikina kama wale wa “Tabora” na mpka sasa sijawahi kusikia mchawi wa kihaya kakamatwa au katajwa na mtu kuwa kamroga.
View attachment 2613755
Nshomile
naripoti nkiwa
Kahama, Tanzania
Wahaya bado wana mambo ya kikoloni na ushamba mwingi ukienda huko vijijini kwao ndo utajua:-
1.ni mara chache sana ukakuta maji ya kutawaza katika vyoo vya wahaya,wenyewe ukienda kunya basi utabeba maji kidogo kwenye kigaloni kwaajili ya 'kutamba' tu.
2.haja ndogo hukojoa popote migombani.
3.Ni wakabila,hili lilinipa taabu sana wiki jana nilivyoenda huko UKWENI Kanyigo,mimi ni mswahili ila wao tukikaa wanachapa kihaya tu hata hawajali kama mimi mgeni tajisikiaje. Huu ujinga hauwezi kukuukuta kwa watu wa ukanda wa Bahari ya Hindi(Pwani).Wahaya ni wakabila mno nyambafu.
Kiufupi nisema tu shemeji zangu wahaya ni washamba.
Kwani wakipanda Ndege wanalala njiani?Point namba tatu ni sizitaki mbichi hizi
Ukweli ni kwamba bukoba/kagera ni mbali sio kwamba hawapendi kwao bali ni mbali
Tofauti na moshi/kilimanjaro ni karibu asubuhi mchana umeshafika
HahahahahPosti na Ile stendi yenu pale mansipaa