Zipi tamu na chungu za ndoa?

Zipi tamu na chungu za ndoa?

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,280
Reaction score
4,579
Naamini siku ya jana iliisha vyema kwenu, lakini pia nawapa pole waliotumia mali na miili yao vibaya na sasa wanajuta baada ya akili kurudi.

Naomba niulize; zipi ni tamu na chungu za kuoa/kuolewa ili nijue nakabiliana vipi na ndugu na jamaa wanaotaka nioe.

Karibuni
 
Oa kwa ajili yako mwenyewe kama hujisikii kabisa usioe kwa ajili ya hao jamaa zako maana utajuta kwasababu halitakua pendekezo lako ni msukumo wa wawatu wengine mi naona ndoa sio lazima sana 😒 mimi hata mahusiano tu bila ndoa sio muhimu sana😏 mimi kama ningekuwa sijawahi kufanya sex nisingefanya kabisa ningekua mtawa maana mapenzi sitaki ila sex nataka☹️
 
"mimi kama ningekuwa sijawahi kufanya sex nisingefanya kabisa ningekua mtawa maana mapenzi sitaki ila sex nataka☹️"

Sex usingefanya ungekuwa mtawa ila mapenzi hautaki ila sex unataka....?
 
"mimi kama ningekuwa sijawahi kufanya sex nisingefanya kabisa ningekua mtawa maana mapenzi sitaki ila sex nataka☹️"

Sex usingefanya ungekuwa mtawa ila mapenzi hautaki ila sex unataka....?
Kwa sababu tayali nishajua utamu wa sex ndio maana nashindwa kuacha japo natamani niache
So kama ningekua mtawa ningeepuka
1 ndoa
2 mahusiano ya kimapenzi
3 hata hiyo sex yenyewe
So now nahisia za sex kwa sababu mwili ulisha onja
 
Tunaishi mara moja duniani,hakuna mwalimu sote ni wageni so ukioa/ukiolewa utazikuta hizo tamu na chungu kwa sasa tutakupa stress tu za kukufanya usioe ama kuolewa. Utamu wa mchezo ingia ucheze. Karibu sana kwenye chama cha walala uchi duniani CHAWAUDA
 
Back
Top Bottom