Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,851
Siku moja nikawa najisajili kwenye yahoo, nilipofikia kwenye zipocode kijasho kiliaza kunitoka maana kila nikajaribu kubuni namba naambiawa wrong! lakn baadaye nikaweka p.o.box la shule niliyosemea ikakubali hadi leo napeta na yahoo answer kwa kwende mbele.