Zinaa katika uislamu....

Umeona kuvuliwa nguo ndio issue ya kuogopa!; kuliko kushahadia KWAMBA ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI WA KUMFAHAMISHA HAPA NOMA NA HAPA GADO!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha Mungu wako kavuliwa nguo na kuachwa na kachupi , na kumtemea mate kama choo kinachonuka, kaka Mungu wa kweli haitaji huo upuuzi ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
 
Hili sio jibu wewe unachotakiwa ni kunijulisha tu 945 au 845 basi , kinachofata sio kazi yako ahahahahaahahahha
Kwa hiyo quran iliyo kujulisha wote wamepatia huiamuni? Au ni ile...
IMG_20190203_182850_312.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naye ni mtu wa harakati tu....hana tofauti abisa na Mohammad. Si unakumbuka Mwingira alimla uroda mke wa mtu, na Mohammad alikuwa anafanya haya pia, soma tu Qur'an utayaona haya.
Nimesoma Quran wala sijayaona ebu thibitisha pia wapi Mwingira alikula mke wa mtu?
 
Sema Mungu wetu! Kuanzia allah muhammad, masudi, mgen...au na allah humuamini?! View attachment 1012410

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio miongoni mwa walio dhulumu , au ujijui kuna dhuluma gani kama kumfanya Mungu dhariri wakupigwa Makofi na kutemewa mate na wahuni? mnataka muambiwe kwa lugha gani ili muelewe kuwa Mungu wa kweli haitaji huu upuuzi wa kufanywa takataka na viumbe wake mwenyewe ili kuwaokoa viumbe hao hao , hii inasikitisha mno
 
Kaka yangu Masoud
Kuna wakati kunyamaa,ni bora sana kuliko kunena
Hakuna haja ya kuendelea mabishano
Maana wapo baadhi,ni wepesi sana kukashifu au kubeza au kutukana,
Kisha sisi tutabeba dhambi,kwa ajili yao
Kwann?!
Kwasababu hawajui walisemalo au walitendalo
Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoa

Bado unambishia Allah!!hhhhhhhhhh...kufuru nyingine Hata ibilisi hawezi kuzikurubia! Nikupe mfano Huu inshalah unaweza kuelewa!; vijana wa baba mmoja wanae walieudi Vitabu; ktk kumsimulia baba yao, mmoja akawa anasimulia jinsi askari wa miguu walivyo kuwa wanalipuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini alipokuwa wana-advance to contact! Mwingine alimhadidhia jinsi askari mmoja alipo lipua kifaru kwa kutumia rocket propelled grenade! Kutokana na simulizi hizo napata Maudhui Vita HAKIKA ILIKUWEPO! Ni msukule wa kukariri tu ndie ndie ATAKAE sema hao vijana ni waongo mbona hawna mlingano ktk simulizi yao!
IMG_20180825_122512_559.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuambia ndg yangu

HAKIKA EKWELI,VYOVYOTE VILE UTAKAVYOPIGWA VITA
BASI FAHAMU,IPO SIKU YTADHIHIRI NA KUNUSURIWA
NAKUPA BISHARA HIYO

Hata siku moja,Batili haiwezi kupigana vita na HAKI kisha batili ikashinda

Hata kama watuzia HAKI isipenye katika masikio yao,Lkn nakupa bishara
Wallah Haki itapenya mpaka katika mishipa yao ya Damu

الحجة لا تحارب الا بالحجة
Hawawezi kupambana na Hoja sahihi,kwa kule kukaukwa kwao na mate
Waache wapige makelele

Kama wanataka haki itawale
BASI
HOJA KWA HOJA

Hatutaki
HOJA KWA MANENO MATUPU AU YA KUSIKIA SIKIA

Hawawezi kuwaziba watu masikio na macho,ili wasione HOJA SAHIHI

لا تحارب الحجة بتنفير الناس عنها

Ila nasaha kwa Waislam

Si kila jambo linafaa kujibiwa

Si kila jambo linafaa kusemwa

Kila jambo na wakati wake na watu wake

Tuongee nao,kwa kadiri ya akili zao

tusivuke mipaka

Na Tutahadhari sana

Jawabu lako 1 tu(kwa kutokujua),huenda likaharibu kila kitu
Tuwe makini sana

Shukran
Allah awabaarik sana popote mlipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio miongoni mwa walio dhulumu , au ujijui kuna dhuluma gani kama kumfanya Mungu dhariri wakupigwa Makofi na kutemewa mate na wahuni? mnataka muambiwe kwa lugha gani ili muelewe kuwa Mungu wa kweli haitaji huu upuuzi wa kufanywa takataka na viumbe wake mwenyewe ili kuwaokoa viumbe hao hao , hii inasikitisha mno
Huoni kwamba kuinua mdomo tu na Kutamka ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI ni kudhalilisha UWEZO, UKUU, NA MAAJABU YA MUNGU NA KUMFANANISHA NA BABU YAKO AMBAYE HANA UWEZO? walahi bilahi watalahi usipo OMBA TOBA NI KWA KHASARA YAKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoa
Sasa kama anajua Hesabu hapo kakosea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingependeza sana,unachokisema ukawa unakifahamu
Na si kurukia maneno,utadharaulika mbele ya wenye akili

Mkuu Mgen
Jifunze kutazama kwanza,kisha sema pale unapopewa rukhsa.Hii ni moja ya adabu
na si kuchanganya maziwa na maji ya ndimu,au maziwa na mafuta ya kupikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni kwamba kuinua mdomo tu na Kutamka ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI ni kudhalilisha UWEZO, UKUU, NA MAAJABU YA MUNGU NA KUMFANANISHA NA BABU YAKO AMBAYE HANA UWEZO? walahi bilahi watalahi usipo OMBA TOBA NI KWA KHASARA YAKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ameshasema " wamekufuru waliosema masihi mwana wa maryamu ni Mungu" ndio maana unastaajabisha kweli kweli kuja hapa na kusema Mungu kapigwa Makofi na kutemewa mate, ata huyo Yesu ambaye alikua akila na kunya kama wewe Allah amepinga jambo hilo kuwa akufanyiwa la kufanywa kama mdoli ahahaahahhhhauahqhahha
 
Bado unambishia Allah!!hhhhhhhhhh...kufuru nyingine Hata ibilisi hawezi kuzikurubia! Nikupe mfano Huu inshalah unaweza kuelewa!; vijana wa baba mmoja wanae walieudi Vitabu; ktk kumsimulia baba yao, mmoja akawa anasimulia jinsi askari wa miguu walivyo kuwa wanalipuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini alipokuwa wana-advance to contact! Mwingine alimhadidhia jinsi askari mmoja alipo lipua kifaru kwa kutumia rocket propelled grenade! Kutokana na simulizi hizo napata Maudhui Vita HAKIKA ILIKUWEPO! Ni msukule wa kukariri tu ndie ndie ATAKAE sema hao vijana ni waongo mbona hawna mlingano ktk simulizi yao!View attachment 1013118

Sent using Jamii Forums mobile app
Allah ndio alimiambia kuwa 945=845? ahahahaahhhahhaha uongo wa waandishi wenu na janja janja yao unamsingizia Allah ahahahaah
 
Kaka yangu Masoud
Kuna wakati kunyamaa,ni bora sana kuliko kunena
Hakuna haja ya kuendelea mabishano
Maana wapo baadhi,ni wepesi sana kukashifu au kubeza au kutukana,
Kisha sisi tutabeba dhambi,kwa ajili yao
Kwann?!
Kwasababu hawajui walisemalo au walitendalo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu yangu mda mwengine tunamuonyesha huyu bwana mdogo tunaweza kupiga miguu yote ikibidi
 
Back
Top Bottom