Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Huwa mm si mpenzi kabisa wa Mipasho Mkuu Mgen
Naomba ujaribu kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ujaribu kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yako yaliyo ndani ya Mabano
yananipa shaka sana katika kukujibu ww
unaposema
Ukiwa na nia ya kuuvunja Mkataba baada ya kupata nguvu
Una maanisha nn?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yako yaliyo ndani ya Mabano
yananipa shaka sana katika kukujibu ww
unaposema
Ukiwa na nia ya kuuvunja Mkataba baada ya kupata nguvu
Una maanisha nn?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tafsiri hiyo, vijana ambao hawapo kwenye ndoa wakifanya ngono(wakijamiiana) hiyo mnaitaje?? Sio zinaa?
Kiufupi, zinaa ni kitendo cha kujamiiana bila kuwa kwenye ndoa, tendo la kujamiiana ni halali kwa watu waliofunga ndoa tu, ambao hawajafunga ndoa wakijamiiana hiyo ni zinaa ambayo ni dhambi kubwa mno!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakujibu kwa mfano halisi. Mohammed alipokimbilia
Ni hivi; Mohammed alipohamia Madina toka Mecca hakuwa na nguvu za kijeshi na ndipo alipoingia mkataba "amani" i.e. Hudaybiyyah na hakuwahi kuwashambulia watu wa Medina hadi hapo nguvu zake kijeshi zilipoimarika. Alipopata tu nguvu akawafyekelea mbali wale wale alioingia nao mkataba.
Umeelewa sasa?
Umesoma maelezo ya neno uasherati kabla ya kuandika ulichokiandika?
Mkuu OMBA maghufira kwa kwa kuitakidi kwamba ilimu Islam ni mipasho!Huwa mm si mpenzi kabisa wa Mipasho Mkuu Mgen
Naomba ujaribu kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hicho ninachokwambia sasa , ata mjinga analeta ushahidi wa kuunga unga ili mradi atetee ujinga wake , hivyo unapoambiwa jambo angalia ushahidi wenye mashiko na wenye kujieleza na kujibu maswali , ukiamua kuwa mwizi itabaki ni uamuzi wako lakini dalili zimeletwa na kufafanuliwa mbele yakoNikiamua kuwa mwizi haitakuwa na maana na wewe iwe halali kwako kuwa mwizi. Kigezo kiwe kwenye chanzo (Biblia au Quran kulingana na imani ya mtu kwenye kitabu husika). Kwangu mimi ni lazima mtu uwe na justification ya kuamini unachokiamini kwa kuwa kitabu unachokiamini kuwa ni muongozo wako ni lazima kiwe na maelezo yasiyopingana. Sherehe na mapokeo hayawezi kuwa msingi wa kuthibitisha au kukanusha ukweli wa nguzo za imani yako.
Unajibu usiloulizwa lazima tujue uongo ni upi na ukweli ni upi , biblia Ingesema ZATU alikua na WATOTO wengi wala tusingeuliza NAMBA, lakini inapojifutua na kuandika namba zenye mashaka ili kesho tusije danganya watu kwa vinywa vyetu, aya tuambie watoto wa ZATU ni 945 au 845 au Wengi( kwa mujibu wa andiko lako) ?Mimi Naangalia UJUMBE KAMA BIBLIA TAKATIFU ILIVYO AGIZA NILIO UPATA HAPO TOKA MAANDIKO ULIYO WEKA NI USHAHIDI WA KWELI ZATU ALIKUWA NA WATOTO WENGI TU!View attachment 1010116
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kelele maghafira unayajua wewe? ungeanza wewe kufuta ujinga wako kuwa Mungu alichapwa MAKONDEMkuu OMBA maghufira kwa kwa kuitakidi kwamba ilimu Islam ni mipasho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingira ndio nabiiMohammed si nabii...alikuwa mtu wa harakati tu.
OMBA Toba waukaye kwa kuamini ATAKALO MUNGU HAWEZI NA Ana MSHAURI! Hujui la dhara wala la maskhara!Acha kelele maghafira unayajua wewe? ungeanza wewe kufuta ujinga wako kuwa Mungu alichapwa MAKONDE
Sikiza WASOMI wanacho kufundisha kwamba Zatu alikuwa na watoto wengi waukaye!; kama una Shaka na hayo rejea koloani maadam unayo! Usije utajilipua bure kwa ujinga wa kunielewa...Unajibu usiloulizwa lazima tujue uongo ni upi na ukweli ni upi , biblia Ingesema ZATU alikua na WATOTO wengi wala tusingeuliza NAMBA, lakini inapojifutua na kuandika namba zenye mashaka ili kesho tusije danganya watu kwa vinywa vyetu, aya tuambie watoto wa ZATU ni 945 au 845 au Wengi( kwa mujibu wa andiko lako) ?
Mkuu. Invisible huu uzi mbona umeachwa na maudhui yake yanakejeli upande fulani tena kwa kutaja jina kabisa?
Wengine tunatoa nyuzi hazimtaji mtu mnafuta kwa nini?
Huu uzi mbona upo hapa mpaka sasa?
Ahahahahaaaahahhahhaaha mimi sijakuuliza kuamini , mimi nimekuuliza idadi ya watoto wa ZATU , ukisoma Kwa Ezra na nehemia kila mtu anasema lake huyu 945 na huyu 845 Kati ya hawa mmoja ni muongo ukishanithibishia nani mkweli ndio ntaamini , tumefundisha kutoamini Uongo hahaha ahahahhha ahaahhhhhahahaSikiza WASOMI wanacho kufundisha kwamba Zatu alikuwa na watoto wengi waukaye!; kama una Shaka na hayo rejea koloani maadam unayo! Usije utajilipua bure kwa ujinga wa kunielewa...View attachment 1011221View attachment 1011222View attachment 1011224
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atake kuvuliwa nguo na kubakishwa na kachupi !!!ili iweje Mungu sio dhariri hivyo acha kufuru zako AhahahhahahahaahjhhahajaOMBA Toba waukaye kwa kuamini ATAKALO MUNGU HAWEZI NA Ana MSHAURI! Hujui la dhara wala la maskhara!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona kuvuliwa nguo ndio issue ya kuogopa!; kuliko kushahadia KWAMBA ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI WA KUMFAHAMISHA HAPA NOMA NA HAPA GADO!Mungu atake kuvuliwa nguo na kubakishwa na kachupi !!!ili iweje Mungu sio dhariri hivyo acha kufuru zako Ahahahhahahahaahjhhahaja
Ukijua idadi ili ufuzu? Unachekesha wa home!Ahahahahaaaahahhahhaaha mimi sijakuuliza kuamini , mimi nimekuuliza idadi ya watoto wa ZATU , ukisoma Kwa Ezra na nehemia kila mtu anasema lake huyu 945 na huyu 845 Kati ya hawa mmoja ni muongo ukishanithibishia nani mkweli ndio ntaamini , tumefundisha kutoamini Uongo hahaha ahahahhha ahaahhhhhahaha