Nakuambia ndg yangu
HAKIKA EKWELI,VYOVYOTE VILE UTAKAVYOPIGWA VITA
BASI FAHAMU,IPO SIKU YTADHIHIRI NA KUNUSURIWA
NAKUPA BISHARA HIYO
Hata siku moja,Batili haiwezi kupigana vita na HAKI kisha batili ikashinda
Hata kama watuzia HAKI isipenye katika masikio yao,Lkn nakupa bishara
Wallah Haki itapenya mpaka katika mishipa yao ya Damu
الحجة لا تحارب الا بالحجة
Hawawezi kupambana na Hoja sahihi,kwa kule kukaukwa kwao na mate
Waache wapige makelele
Kama wanataka haki itawale
BASI
HOJA KWA HOJA
Hatutaki
HOJA KWA MANENO MATUPU AU YA KUSIKIA SIKIA
Hawawezi kuwaziba watu masikio na macho,ili wasione HOJA SAHIHI
لا تحارب الحجة بتنفير الناس عنها
Ila nasaha kwa Waislam
Si kila jambo linafaa kujibiwa
Si kila jambo linafaa kusemwa
Kila jambo na wakati wake na watu wake
Tuongee nao,kwa kadiri ya akili zao
tusivuke mipaka
Na Tutahadhari sana
Jawabu lako 1 tu(kwa kutokujua),huenda likaharibu kila kitu
Tuwe makini sana
Shukran
Allah awabaarik sana popote mlipo
Sent using
Jamii Forums mobile app