Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Uongo ulio vuka Mipaka
Kisha
Yaasir Arafaat si Ushahidi sahihi katika Hoja
Taqqiya ni practice ya kila Muislamu na sio Shia peke yao. Mohammed aliwafanyia Wayahudi na hata hivi karibuni Yassir Arafat alinukuu hiyo fact wakati anaulizwa kuhusu mkataba wake na Israel Camp David.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia kwa tabia yangu dini ambayo inanifaa ni uislamu.mimi napenda niwe na mwanamke zaidi ya mmoja,so ntapata nafasi ya kuoa wanne ambao pia wakinizingua nawapiga chini.

Pili mimi nachukia habari za kuwapenda maadui. So hao nitawaadhibu vizuri sana wakiingia kwenye 18 zangu.masuala ya kusema wasamehewe na mimi nina hasira na kisasi naona ni udwanzi sana.

Jino kwa jino na jicho kwa jicho

Kwann Chief?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno yako ya mwisho

yanaonyesha wazi kabisa
Huna NIA njema Chief
Namuomba Mola akuongoze katika usawa

Hakuna nilipokosea maana quran inaruhusu kulipa kisasi. Kama mtu amenikosea inaruhusu pasina shaka kulipiza maana ni haki. Kitu ambacho kinani bore kwa wakristo wao wanazuia na wakati mimi mtu kanikwaza. Wakristo wanatakiana kusamehe 7x70. Why? Hapo inakuwa ngumu.

Kwa maneno yako ya mwisho

yanaonyesha wazi kabisa
Huna NIA njema Chief
Namuomba Mola akuongoze katika usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHIEF MFIAKWELI
Hujajua maana ya neno TAQIYYAH

labda nikupe maana yake

TAQIYYAH
NI KUDHIHIRISHA MTU MAMBO YA KIIMANI(DINI) KWA WATU,AMBAYO HAYAPO KIFUANI MWAKE

Mfano
Kukudhihirishia mimi kuwa ni Mkristo kama ww,tena wa Dhehebu la Katoliki,ilihali sivyo,ni kiwa na maana yangu na malengo

UISLAM
unakemea TAQIYYAH na kusema ni moja ya alama za UNAFIKI WA MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa Chief wapi unakusudia

ila
nakuomba ufungue uzi juu ya hili,kisha tualike ili tushare pamoja katika hili

asante sana
Hakuna nilipokosea maana quran inaruhusu kulipa kisasi. Kama mtu amenikosea inaruhusu pasina shaka kulipiza maana ni haki. Kitu ambacho kinani bore kwa wakristo wao wanazuia na wakati mimi mtu kanikwaza. Wakristo wanatakiana kusamehe 7x70. Why? Hapo inakuwa ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHIEF MFIAKWELI
Hujajua maana ya neno TAQIYYAH

labda nikupe maana yake

TAQIYYAH
NI KUDHIHIRISHA MTU MAMBO YA KIIMANI(DINI) KWA WATU,AMBAYO HAYAPO KIFUANI MWAKE

Mfano
Kukudhihirishia mimi kuwa ni Mkristo kama ww,tena wa Dhehebu la Katoliki,ilihali sivyo,ni kiwa na maana yangu na malengo

UISLAM
unakemea TAQIYYAH na kusema ni moja ya alama za UNAFIKI WA MTU

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kuingia mkataba (wakati huna nguvu) ukiwa na nia ya kuuvunja (baada ya kupata nguvu za kutosha) kunaitwaje?
 
Maneno yako yaliyo ndani ya Mabano
yananipa shaka sana katika kukujibu ww

unaposema
Ukiwa na nia ya kuuvunja Mkataba baada ya kupata nguvu

Una maanisha nn?!

Sent using Jamii Forums mobile app
hhhhhhhhhh...
IMG_20190118_171014_137.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi.

Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).

Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?
Kwa tafsiri hiyo, vijana ambao hawapo kwenye ndoa wakifanya ngono(wakijamiiana) hiyo mnaitaje?? Sio zinaa?

Kiufupi, zinaa ni kitendo cha kujamiiana bila kuwa kwenye ndoa, tendo la kujamiiana ni halali kwa watu waliofunga ndoa tu, ambao hawajafunga ndoa wakijamiiana hiyo ni zinaa ambayo ni dhambi kubwa mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom