masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa umepagawa mimi nakwambia ata manabii wanajua kutenganisha hili kasema Mungu na hili kasema nabii, anaposema Mungu lazima nabii aonyeshe kuwa hili la Mungu na hili langu , nabii Nathan kaonyesha kwa uwazi lipi la Mungu na lipi lake kwa kuweka wazi MUNGU ASEMA , wewe unaleta habari za popobawawee waukaye unachekeshakwa hiyo Hata popobawa akisema Mungu anasema wewe utaamini Mungu Amesema
![]()
![]()
nimesha ng'amua ndio sababu mnaamini deen za ajabu ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
2 SAMUEL 12:7
";Basi Nathan akamwambia Daudi, wewe ndiwe mtu huyo. Bwana Mungu wa Israel, ASEMA hivi ,Nalikutia mafuta uwe mfalme juu ya Israel , nikakuokoa na mkono wa Sauli";
Mbona hiko wazi maneno ya Mungu yanaoneka na maneno ya Nathan yanaonekana, na utambulisho ni pale " Mungu wa Israel asema hivi"; bahati mbaya watu wanajadili mambo makubwa wewe unaleta viroja vya popobawa
kwa hiyo Hata popobawa akisema Mungu anasema wewe utaamini Mungu Amesema
