Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

acha upuuzi

Shia Mtume wao si Mohammad
Na Quraan wanaikataa

niliwahi kukuambia,usilazimishe jambo usilolijua
Lakini Shia nao ni Waislamu na mtume wao ni yule yule Mohammed mtume wa Wasuni! Na Qur'an inayotumika ni hiyo hiyo moja. Iweje sheria iwe halali kwa Washia lakini ikawa haram kwa Wasuni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfiakweli
Tumekuthibitishia kuwa ndoa ya Mut-a imeharamishwa kwa Maandiko
Aya tumekuletea
Hadithi sahihi tumekuletea
Maneno ya Kilugha na matumizi yake,pia tumekuletea

Ww unatulazimisha,tuache makatazo aliyokataza Mtume wetu sala na salamu ziwe juu yake
kisha tushikamane na uchafu na uvundo wa Mashia?!!

Wewe Jamaa ni wa ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Na wala msiikaribie kabisa zinaa(sio tu msifanye bali hata msiikaribie), hakika huo huo ni uchafu na ni njia mbaya kabisa" Qur an Kareem

Hii ni contradiction kwa sababu Mohammed alikuwa anabaka wake za watu na kusex nao kwa ulazima, pia alibaka kichaa na kudu naye, na akawa anawaambia wafuasi wake kuwa kubaka si kosa....habari kamili hii hapa kwa wale wabishi:
1. Thou shall Rape, Marry, and Divorce Pre-pubescent Girls (watoto wadogo). Qur'an 65:4
2. Thou shall have Sex Slaves and Work Slaves. Qur'an 4:3, 4:24, 5:89, 33:50, 58:3, 70:30
 
Kwann tuliweke kiporo?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilitaka unipe jina la mtume wa Shia kwanza. Anyway, soma hapa halafu nipe ushahidi tofauti unaotbibitisha kuwa Shia hawatumii Qur'an inayotumiwa na Sunni.

Firstly, Muslims (Shia, Sunni) don't worship it, haply know it as the words of Allah (as the revelation or Vahi) to Prophet Muhammad (peace be upon him and his household) … The Quran is the same and this is the opinion of most or may be all of Shia scholars. ... Consequently the Quran of Shia and Sunni are the same.
Do the Sunni & Shia worship from the exact same Quran? - Quora
 
Watakuambia hiyo ni kwa mujibu wa Shia ila sio Sunni.
 
Acha maneno ya ajabu Bro
Kuitumia na Kuiamini,ni vitu tofauti

Ww unaitumia Quraan,lkn huiamini
Wataka niseme na ww ni Muislam?!

Shia wanaikataa Quraan na kuibeza
hata kama wanaitumie

kisha ajabu kwako

Unakwenda katika Website zao,na kuchukua takataka,unataka kutuaminisha sisi Waislam na tufuate haya unayotuma kutoka kwao?!

labda nikuulize Mkuu
samahani lkn

Ww ni wakala wa Mashia?!
mpaka unashika bango tuwaamini kama unavyowaamini ww?!

Mimi ni academician Mkristo. Nimekuwa nasoma Qur'an muda mrefu na sijaona mahali popote au kumsikia mtu yeyote (kabla yako) kuwa Shia wana mtume wao (ambae hadi sasa hujamtaja jina) na Qur'an yao tofauti na Sunni.
 
Bro

Kaa chini usome,na si kuchukua maneno katika majalala ya Kimitandao

usiseme hata siku moja
zamani mlikuwa mnatudanganya,leo kila kitu kipo wazi
Naa ni kweli kila kitu kipo wazi

lkn tahadhari
Hata ujinga pia upo wazi,tena sana
Kwann ndg Mfiakweli,huwezi kujua,ni ipi ipo sawa na ipi ni chenga,utajiokotea tu kwa kudhani umeokota dhahabu!!!!
Hasara itakuvaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huo ndio ushahidi wa kusema kuwa Shia wapo sawa na Waislam?!
kwakuwa ww umesoma sana Quraan!!!

kisha
aliekusomesha ww Quraan ni nani?!
mpaka wasema kwa kinywa kipana,nimesoma sana Quraan?!

Basi kaa chini na usomeshwe na wenye kujua Bro

Kwa nini usinipe references ambazo unaziamini rather than kuniambia naokoteza vitu? Halafu mbona hunipi jina la mtume wa Shia?
 
Kuna forums na debates nyingi sana leo hii. Kwani mtu hawezi kusoma Qur'an mwenyewe na akaielewa hadi asubiri kufundishwa na mtu mwingine?
 
Jina la Mtume wao mm silijui

Maana hawakuweka wazi

wao wameweka wazi majina ya Maimamu wao 12,ambao ndio bora kwako kuliko Manabii

Ila Mtume wetu Mohammad,wamemkataa na kumdhalilisha
kwa maandishi yao na Vitabu vyao
Kwa nini usinipe references ambazo unaziamini rather than kuniambia naokoteza vitu? Halafu mbona hunipi jina la mtume wa Shia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mganga mwenye kujiganga

Adabu ya Elimu,huchukuliwa katika midomo ya watu wajuzi
hii ndio adabu ya Elimu

Hata
Upasta na Uaskofu,husomi tu kwenye mitandao na kuwa askofu tayari utakaekubalika na jamii ya Maaskofu au mapasta
Kuna forums na debates nyingi sana leo hii. Kwani mtu hawezi kusoma Qur'an mwenyewe na akaielewa hadi asubiri kufundishwa na mtu mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom