FAIDA NDOGO
kwenu wapinga ukweli
Allah aliposema
نسائكم حرث لكم،فأتوا حرثكم أنى شئتم
Kuna faida kuu mbili
1)Mola wetu alietukuka,amewafananisha wanawake na mfano wa shamba
Shamba hutoa matunda yenye manufaa kwa wanaadam,na ikiwa shamba halitoe matunda,basi hilo si shamba,bali ni pori/msitu/jangwa
2)Mola akutumie tena neno hili(أنى),kwakuwa Quraan imeshuka kwa lugha ya Kiarabu,Basi tuwaulize wenye lugha maana na matumizi ya neno hili(أنى)
Wasomi wa Lugha wanatoa moja ya maana zake ni كيف au كيفية
Tukiangalia mwanzo wa aya na mwisho wake
Tunafaidika kwa haya
Wake zetu,tunapaswa kuwaendea kwa style tunatoka,muda wa kuwa,sehemu tunayoingia,pawe na matunda na faida
na Mtt ni tunda kwako na faida kwa wote
swali
Sehemu ya nyuma
Kuna weza kweli kuwa na faida,na kututolewa matunda mazuri?!!
au ni uchafu tuu
Kabla ya aya hii
Tazama aya ya juu yake
Allah anasema
( ويسألونك عن المحيض قل هو أذى فاعتزلوا النساء في المحيض ولا تقربوهن حتى يطهرن فإذا تطهرن فأتوهن من حيث أمركم الله إن الله يحب التوابين ويحب المتطهرين ( 222 )
Na wanakuuliza kuhusu Hedhi(mwanamke anapokuwa siku zake)Sema kwa kuwaambia,ni uchafu,na jiepusheni na wanawake wanapokuwa siku zao,na wala msiwakurubie mpaka watakapotakasika,na pindi wakitakasika,basi waendeeni pale mlipoamrishwa na Mola wenu,Hakika ya Allah anawapenda wenye kutubia(kuomba msamaha)na anawapenda wale wenye kujitakasa(na mambo machafu)
Tumeamrishwa tuwaendee wake zetu,pale tulipoamrishwa
na tumeamrishwa,tuwaendee pale panapotoa faida na matunda,
nayo ni sehemu ya mbele ya mwanamke
Na Mtume wetu sala na salamu ziwe juu yake anasema
وهو في صحيح الجامع 5865 بل إن النبي صلى الله عليه وسلم قال : " من أتى حائضا أو امرأة في دبرها أو كاهنا فقد كفر بما أنزل على محمد "
Yeyote mwenye kumuendea mwenye hedhi au mwanamke kinyume na maumbile au akamuendea mpiga ramli(mshirikina)Basi hakika amekufuru yale aliyoteremshiwa Mohammad sala na salamu ziwe juu yake
akasema tena
ملعون من أتى امرأة في دبرها " رواه الإمام أحمد 2/479
amelaaniwa mwenye kumuendea mke wake kinyume na maumbile
Kiujumla
Kufanya kitendo cha kumuendea mkeo kinyume na maumbile,ni tendo la laana na hufaaa kukemewa vibaya sana
Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe kwa ajili ya DHAMIRA NJEMA Aliyo Kuumbia ndani yako, Muumba wetu unaamini ulicho Andika Ubarikiwe [emoji120]
Nina Shaka yule ambaye allah ameagiza kwamba ni Kigezo chema kwenu ili mkitaka kufuzu mumgeze [emoji106] ona hizi hadith [emoji117] View attachment 1002087View attachment 1002146View attachment 1002155View attachment 1002158View attachment 1002160
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwahi hukumia kwa nafsi yake . Kama kuharamisha kilicho halali kwa kutafuta radhi ya wake zake. Kwanini
Waukaye ni heri ungenifundisha kwa kuniwekea Ushahidi kwamba Abram alipata wahyi toka kwa Mungu kwamba ampge mjengo house girl wake [emoji4] lakini ushauri umetoka kwa mkewe bi Sarah [emoji38] [emoji38]Acha kujitoa ufahamu basi unaambiwa ruksa imetoka kwa Mungu mwenyewe hakuna zinaa hapo, Ibrahim alipewa ruksa na mkewe akamtafuna kijakazi wake na Mungu akatulia tuli tena ameridhika na jina la mtoto likatoka kwa malaika wa bwana, iweje ruksa ya Mungu sisi waislamu kula vijakazi wetu wa vita wewe utoke povu
Kama wewe kwa ajili ya DHAMIRA NJEMA Aliyo Kuumbia ndani yako, Muumba wetu unaamini ulicho Andika Ubarikiwe [emoji120]
Nina Shaka yule ambaye allah ameagiza kwamba ni Kigezo chema kwenu ili mkitaka kufuzu mumgeze [emoji106] ona hizi hadith [emoji117] View attachment 1002087View attachment 1002146View attachment 1002155View attachment 1002158View attachment 1002160
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio maana nikakwambia kuwa kuna ile picha Mungu wako kapakatwa na ile nyingine kavishwa kakaptula kama askari wa kijerumani
Sasa ufundishwe Hata ualimu [emoji350] kwa lugha hiyo nakupotezea tu [emoji12]Utaelewa tu tulia kama unanyolewa bwana mdogo
Kwa hiyo Mungu alimpa ruhusa selemani kufanya uzinzi?
Jina lipi hilo [emoji350] la punda mwitu [emoji4]Nani alimpa ruksa malaika wa bwana kumpa jina mtoto wa Ibrahim alozaa na kijakazi?
MUNGU WANGU ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI[emoji123] [emoji106]Nimepatia kweli kweli , maana ni utahira mkubwa ,Mungu atishiwe na kinyago chake, yaani mtu na akili zako kabisaaaaaaa unasema Mungu katemewa mate ahahahaah ahaahhhhhahaha
Sawa na hapa umepatia [emoji122] [emoji122] [emoji106]Ahahahahaaaahahhahhaaha kadanganye watoto wenzako , humu vitu vya kuokota sio mahali pake, halafu uwa unaleta hadithi za uongo ili upate kitu gani , lakini sishangai kama Mungu wako ndio huyu aliesemwa mpumbavu na DHAIFU , wewe sio kosa lako
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu",
Ahahahahaaaahahhahhaaha unaleta hadithi azina chanzo sijui abdullah bin nani ata chanzo cha uongo pia umekosa, unakuja na tafsiri zako unaita hadithi , hapa ni kitabu na namba ya hadithi , wala sio tafsiri zako
Inshaallah [emoji106]Mgeni Baba
Hizo nukuu za Hadithi kutoka katika Vitabu
Je!unaweza kutuhakikishia,kutuma picha halisi tu ya hizo Hadithi(Piga picha ukurusa mzima wa Kitabu,chenye hadithi moja baada ya nyengine)
ni ombi tu kwako My Big Brother
samahani kwa usumbufu Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo la pili ulipo nipa utata
ni ndoa ya Mut-a
Kwa nilivyokuelewa mimi(unahaki ya kunisahihisha Bro)
Mut-a kwa upande wako ni HALALI?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hujui au unaleta istizai...inshallah kama hufaham basi ilikua hivyo...kipindi mtume amehamia madina na kusimamisha dola la kiislam kulikua na hayo makundi mawili.1 ni muhajirina.waliohama na mtume kutoka makka.2 ni Answari waliowanusuru watu kutoka makka.makundi haya yalijihidhirisha wazi baada ya kufariki mtume...maana muhajirina walijinasibisha hakuna answar hata mmoja mwenye haki ya kua khalifa.walisema haki hio ipo kwa muhajirina tena kureshiyu na kwa ban hashim...naomba ufafanuzi katika kauli yako hii Chief
Kwamba Mtume,aliwaacha Maswahaba wakiwa katika makundi 2
1)Ansaar
2)Muhaajiriin
Na hakusema kuwa kundi hili ni la motoni
Kwa mantiki yako Bro
Haifai kusema watu fulani wamepotea au nimekuelewa vibaya Braza kaka?!
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba ufafanuzi katika kauli yako hii Chief
Kwamba Mtume,aliwaacha Maswahaba wakiwa katika makundi 2
1)Ansaar
2)Muhaajiriin
Na hakusema kuwa kundi hili ni la motoni
Kwa mantiki yako Bro
Haifai kusema watu fulani wamepotea au nimekuelewa vibaya Braza kaka?!
Sent using Jamii Forums mobile app
mmN
Kweli hujui au unaleta istizai...inshallah kama hufaham basi ilikua hivyo...kipindi mtume amehamia madina na kusimamisha dola la kiislam kulikua na hayo makundi mawili.1 ni muhajirina.waliohama na mtume kutoka makka.2 ni Answari waliowanusuru watu kutoka makka.makundi haya yalijihidhirisha wazi baada ya kufariki mtume...maana muhajirina walijinasibisha hakuna answar hata mmoja mwenye haki ya kua khalifa.walisema haki hio ipo kwa muhajirina tena kureshiyu na kwa ban hashim...
2;ndoa ya mutah ni kama dufu...khitlafu ni nyingi...inategemea wewe umeipokea ktk mapokeo ya upande upi.kwa sbb hata ibn Abas kuna hadithi nyingi tu zinazoonyesha alikua anaruhusu kua ni halali.mpaka kipindi cha Omary ambae aliipiga marufuku baada ya kupata habar kua mmoja kati ya mabint wa ndugu yake aliolewa kwa ndoa hio.
Kwa mtazamo wangu km unavyotaka nikujibu ni kua ; uhalali wake ni kama alivyoruhusu mtume wa allah...inajuzu kuitumia mkiwa vitan kwa masiku yasiozidi matano km alivyoelekeza mtume wa allah..ama ukharam wake ni pale tu MTU upo tu na wala haupo vitan..ashki zikakupanda unaamua kuitumia ruksa isio kuh usu...utakua unafanya zinaa.
N

mm
Kuhusu kutamka mtu fulan au dhehebu fulan si katika waislam na unafaham anatamka shahada haifai..na nimiongoni mwa kujikufurisha wewe mwenyewe...kwasbb wewe hujui khatma yake wala pia huijui khatma yako.
Yajuzu kutamka hivyo kwa Mayahudi.Manaswara na Mushrikuun.kwa sbb quran imeshahukum juu yao.
Mtafuta Haki
Huwa hachoki hata siku moja
Vitabu leo vipo vingi sana madukani kwa Lugha mbalimbali
Nunua Vitabu,na wala usitegemee mitandao
Nunua Vitabu,kisha kaa chini na usome
Unapopewa jambo,kwa mtu timamu na mwenye akili ya sawa,hutafuta usahihi wake kwanza,kisha husema,huku akiwa ni mwenye kujiamini
Na tufahamu
Hakuna mkamilifu katika sisi Wanaadam
tunakosea sana,
Muhimu ni kukubali mafunzo kutoka kwa mwenzako,Bila kubagua rangi au taifa ua Dini
Muda wa kuwa ni Elimu
Ndio maana tuliamrishwa kusoma na kuitafuta Elimu
TATIZO LETU Wengi wetu,tupo katika Ubishani na si Kufundisha
Tunapenda ushindi
na hatundi kuongoza mtu kwa kumtoa gizani na kumpeleka katika Nuru
Ndio maana
tunatumia maneno ya kashfa dhidi yetu sisi kwa sisi
Sijui wapi tunaelekea?!!!
Jambo la Dini
Husimamiwa na watu wazima wenye busara na elimu
Elimu ikisimamiwa na Vijana wasiokuwa na busara hata kama wana Elimu,Basi hatari ipo mbele
mbaya zaidi
Elimu ikisimamiwa na vijana wasio na Elimu,Basi ni Bora ya kifo kuliko kuishi katika Jamii hiyo
WANA WA JF
wengi hatuna Elimu
Wengi hatuna Busara
Mvuragano kwetu ndio starehe
Naomba tujirekebisheni,ikiwa tunataka kufaulu
Sent using Jamii Forums mobile app