We jamaa nimgeundua ni mgumu wa kuelewa kuliko unavyojijua! Aya zote na tangu siku ya awali nimekupatia aya zinazotaja ni mwanamke gani unawea kuoa na kwa namna ipi na yupi huwezi kuoa! Sasa wewe unataka aya za kukanusha nini? Wewe ukadai kwamba Quran 4:24 inasema:Nadhani uumeamua kuniambia kuwa huna aya inayokanusha nilichokiandika. Siku hizi kuna translation tools nyingi tu (nimekuambia kutojua Kiarabu siku hiz sio shida tena). English translation ya hicho ulichokileta ni hii:
And protections of women, except that what is in your possession is the Book of Allah upon you, and I will make it lawful for you beyond that, that you may seek your wealth, fortified, not traveling, which ye have enjoyed.
Sasa hebu linganisha na hizo tafsiri ulizoleta, kuna uhusiano gani na aya hii??
With confidence, nimekuambia mara kadhaa hapa kwamba WEWE NI MUONGO NA UNAPUMUA UONGO tofauti na Jehova unayedai unamfuata, na nimekutaka kama sio MUONGO, basi weka hapa FULL verse ya hiyo Aya uliyosema ni ya Quran! Hoja yangu mimi na wewe ndo hiyo... nimekuambia uniwekee haya na sio mwanadamu gani kasema nini kwenye blog gani!!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Ndugu, acha kuwa muongo, na kwavile tangia majuzi umekuwa ukipumua uongo kwenye suala hili, basi kaungame ili Alfa na Omega akufungulie milango ya kuingia kwenye jiji lake vinginevyo utabaki nje ukiwa pamoja na wale walio na mazoea ya kuwasiliana na roho, waasherati, wauaji, pamoja na waabudu-sanamu!Tazama! Ninakuja upesi, nikiwa na thawabu ninayotoa, ili kumlipa kila mmoja kulingana na matendo yake. Mimi ndiye Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho. Wenye furaha ni wale wanaofua kanzu zao, ili wawe na mamlaka ya kwenda kwenye miti ya uzima na waweze kuingia katika jiji kupitia malango yake. Nje kuna mbwa na wale walio na mazoea ya kuwasiliana na roho, waasherati,* wauaji, waabudu-sanamu, na kila mtu anayependa uwongo na aliye na mazoea ya kusema uwongo.
We jamaa nimgeundua ni mgumu wa kuelewa kuliko unavyojijua! Aya zote na tangu siku ya awali nimekupatia aya zinazotaja ni mwanamke gani unawea kuoa na kwa namna ipi na yupi huwezi kuoa! Sasa wewe unataka aya za kukanusha nini? Wewe ukadai kwamba Quran 4:24 inasema: With confidence, nimekuambia mara kadhaa hapa kwamba WEWE NI MUONGO NA UNAPUMUA UONGO tofauti na Jehova unayedai unamfuata, na nimekutaka kama sio MUONGO, basi weka hapa FULL verse ya hiyo Aya uliyosema ni ya Quran! Hoja yangu mimi na wewe ndo hiyo... nimekuambia uniwekee haya na sio mwanadamu gani kasema nini kwenye blog gani!!
NARUDIA, weka hapa hiyo Aya vinginevyo, SHUHUDIA MBELE YA YULE UNAYEMUAMINI ULIPOTOKA NA KUSEMA UONGO kisha ungama!
For what I know, umeshindwa kujibu swali langu na unachofanya ni kupoteza muda wangu! But again, kaungame kanisani kwa kusema uongo kwa sababu nikukumbushe tu kwamba, kitabu unachokiamini kupitia Mithali 12-15 kinasema: Ndugu, acha kuwa muongo, na kwavile tangia majuzi umekuwa ukipumua uongo kwenye suala hili, basi kaungame ili Alfa na Omega akufungulie milango ya kuingia kwenye jiji lake vinginevyo utabaki nje ukiwa pamoja na wale walio na mazoea ya kuwasiliana na roho, waasherati, wauaji, pamoja na waabudu-sanamu!
Ulitaka kusema nini hasa? Au unakiri kwamba huna jibu?!Aya = verse.
Naomba unifumbue macho MkuuNadhani uumeamua kuniambia kuwa huna aya inayokanusha nilichokiandika. Siku hizi kuna translation tools nyingi tu (nimekuambia kutojua Kiarabu siku hiz sio shida tena). English translation ya hicho ulichokileta ni hii:
And protections of women, except that what is in your possession is the Book of Allah upon you, and I will make it lawful for you beyond that, that you may seek your wealth, fortified, not traveling, which ye have enjoyed.
Sasa hebu linganisha na hizo tafsiri ulizoleta, kuna uhusiano gani na aya hii??
Acha kujitoa ufahamu basi unaambiwa ruksa imetoka kwa Mungu mwenyewe hakuna zinaa hapo, Ibrahim alipewa ruksa na mkewe akamtafuna kijakazi wake na Mungu akatulia tuli tena ameridhika na jina la mtoto likatoka kwa malaika wa bwana, iweje ruksa ya Mungu sisi waislamu kula vijakazi wetu wa vita wewe utoke povuahaa kwa hiyo muhindi kupigwa mjengo na mluguru bila kumuoa ruksa sababu ni muhindi...hebu masudi fundisha kama mjuzi [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio maana nikakwambia kuwa kuna ile picha Mungu wako kapakatwa na ile nyingine kavishwa kakaptula kama askari wa kijerumaniKumbe unajua Ninacho penda [emoji106] unasita sita nini kutumia nikipendacho kunivuta kwako [emoji350] una hiana masudi [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaelewa tu tulia kama unanyolewa bwana mdogoMimi sina tatizo ilaha unashindwa kunielewa [emoji15] lengo langu ni kuelewa na nikikuelewa nitakuwa na juhudi kuliko wewe [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Mungu alimpa ruhusa selemani kufanya uzinzi?Kwa hiyo unapo zini umepewa na Mungu [emoji38] [emoji38] masudi wee mkubwa bro [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alimpa ruksa malaika wa bwana kumpa jina mtoto wa Ibrahim alozaa na kijakazi?
Naomba unifumbue macho Mkuu
ni kipi unataka kutufundisha?!
Huenda tukakufuata na kukuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepatia kweli kweli , maana ni utahira mkubwa ,Mungu atishiwe na kinyago chake, yaani mtu na akili zako kabisaaaaaaa unasema Mungu katemewa mate ahahahaah ahaahhhhhahaha
Ahahahahaaaahahhahhaaha kadanganye watoto wenzako , humu vitu vya kuokota sio mahali pake, halafu uwa unaleta hadithi za uongo ili upate kitu gani , lakini sishangai kama Mungu wako ndio huyu aliesemwa mpumbavu na DHAIFU , wewe sio kosa lakoNdio sababu ALLAH SIE KABISA huyu allah aliye ruhusu [emoji117] View attachment 1001237 hebu soma na hii [emoji117] View attachment 1001238 asante masudi [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wewe ulieniletea verse ya Kiarabu; nilichofanya ni kutafuta English translation yake tu na sikuona uhusiano kati yake na tafsiri ulizozileta mwanzo.
Ni wewe ulieniletea verse ya Kiarabu; nilichofanya ni kutafuta English translation yake tu na sikuona uhusiano kati yake na tafsiri ulizozileta mwanzo.
Ndugu chilebi elim ya din ya kiislam haipo hivyo unavyoichukulia kujifanya wewe ndio upo sahihi na kuwakufurisha wenzio..mtume wa allah kwa kauli yake amesema"umma wake utagawanyika makundi 73,,,wewe ni nani unaepinga hili."ktk hayo ni moja tu litakaloongoka ambalo litakaloshikamana na quran na suna...ktk uhai wake mtme wa allah ameacha makundi 2,,muhajirina na answar.na makundi haya walikua wakitofautian..na wala mtume hakuwahi kuwaambia kundi hili ni la moton..kwa maana bin adam ndivyo tulivyo tofauti ya uelewa na mitazamo ndio asili yetu.Upo sahihi dini haichukuliwi hivyo. Ndio kama hao mashia na ndoa zao za mutaa. Mutaa ni zinaa tu wanaificha kama ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shekh usikitolee hukum kitu ambacho huna ujuzi nacho..ukweli upo wazi kua ndoa za mutaa zilifanyika nyingi tu wakati wa mtume wa allah..na alieruhusu ni mtume..kipindi alichoruhusu ilikua wakati wa vita.na aliwaambia maswahaba zake ndoa hizo zisiwe zaid ya siku tano.uelewa wa watu unatofautiana.baadhi yamaswahaba waliitafsiri kauli yake kwa mitazamo 2 tofauti.kundi la kwanza liliona ameiruhusu..na kundi la pili waliona ameiharamisha..na kauli ya mtume ni hii""hakika mimi nimehalalisha ndoa ya kukatisha...ila allah ameizuia mpaka siku ya kiama"Hakuna aya ulotoa ilohalalisha mutaa au Kuamrisha watu waoe mutaa, you know all words which are used to command... tuonyeshe katika hiyo quotation yako . Hakuna Amri au demand ya kuamrisha sasa katazo lilikuja katika hadithi nyingi tu za Mtume SAW. Kama mutaa ni halali mtume asingewahukumu wazinifu si wangelipana tu na wamekubaliana?
Sent using Jamii Forums mobile app
hii si halal na mtume Mohamad s.a.w alikataza kitu hicho na vizuri kujua kabla ya majirio ya hizi dini christian na islam , watu walikuwa wanaabudu vitu vyao vingine hivyo kuna baadhi za dini zikabeda mambo ya kale na kuyatia katika dini mfano christmas day na ukristo hii sherehe ilikuwepo kabla ya ukristo ila leo tunaambiwa inahusiana na dini,vivyo hivyo hii nikah mutah ilikuwepo katika jamii za kiarabu hata kabla ya uislam ndiyo Shia muslim wakaiingiza katika dini,,NIKAH NI ZINAA TU KAMA ZINAA NYINGINE,angalia tafasiri yake,ni makubaliano ya siri baina ya mwanaume na mwanamke wenyewe wawili ,hapo ni uhawara,Ndoa ni makubaliano ya wawili iwepo mahali hata ya mdomo tu na awepo shaidi wa pande mbili akiambata na muozeshaji hiyo ndiyo ndoa pasi na hapo ni zinaaNimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".
Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
naomba ufafanuzi katika kauli yako hii ChiefNd
Ndugu chilebi elim ya din ya kiislam haipo hivyo unavyoichukulia kujifanya wewe ndio upo sahihi na kuwakufurisha wenzio..mtume wa allah kwa kauli yake amesema"umma wake utagawanyika makundi 73,,,wewe ni nani unaepinga hili."ktk hayo ni moja tu litakaloongoka ambalo litakaloshikamana na quran na suna...ktk uhai wake mtme wa allah ameacha makundi 2,,muhajirina na answar.na makundi haya walikua wakitofautian..na wala mtume hakuwahi kuwaambia kundi hili ni la moton..kwa maana bin adam ndivyo tulivyo tofauti ya uelewa na mitazamo ndio asili yetu.
Jambo la pili ulipo nipa utataShekh usikitolee hukum kitu ambacho huna ujuzi nacho..ukweli upo wazi kua ndoa za mutaa zilifanyika nyingi tu wakati wa mtume wa allah..na alieruhusu ni mtume..kipindi alichoruhusu ilikua wakati wa vita.na aliwaambia maswahaba zake ndoa hizo zisiwe zaid ya siku tano.uelewa wa watu unatofautiana.baadhi yamaswahaba waliitafsiri kauli yake kwa mitazamo 2 tofauti.kundi la kwanza liliona ameiruhusu..na kundi la pili waliona ameiharamisha..na kauli ya mtume ni hii""hakika mimi nimehalalisha ndoa ya kukatisha...ila allah ameizuia mpaka siku ya kiama"