Zinaa katika uislamu....

...yaap ! Nilihisi una kitu ila una zunguka zunguka !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa hiyo wanafanya Mashia na Mashia si Waislaam !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumepewa ruhusa ya tendo la ndoa kwa watu wawili tu
1)Mke halali wa ndoa

2)Tunaowamiliki kwa mkono wa kuume(Watumwa wa kivita) kisheria

HAKUNA JAMBO LA TATU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have put it short and simple. Baada ya maridhiano lazima kuwe na masharti na taratibu.
 
Ndugu yangu, kabla Safuha hajakujibu, namkumbusha kuwa dini haiendeshwi kwa mawazo na fikra za mtu mmoja mmoja. Ndoa ya mut'aa ilishakatazwa na mbadala wake tukapewa ruhusa ya kuwa na ndoa za mitala. Ukienda kupigana the so called vita ya uchumi basi unayo ruhusa ya kuoa mke wa pili huko ulipo.
 
Hili nililijua kwamba lengo lako ni kuleta hoja zisizo msingi.
 
Oa mpaka wa nne siku hizi kuna simu ni kupiga simu tu anakuja anakimbia, kila wiki unaita mmoja simple tuu dini yetu nyepesi Mashallah
 
Alhabiby Sheikh Abuu Dharr[
Mwenyezi Mungu akulipe kheri wewe na Ustaadh chige Maalim Safuha na wengine wengi walioweka ukweli na kuondosha uongo uliokuwa unawekwa kwa makusudi na makafiri.

Alhabiby hakika umeutendea haki muda wako kwa kutuelimisha na Alhamdulillah nimestafidi sana na darsa lako na wengine pia kadhalika.

Na kuthibitisha hilo tayari makafiri wameanza kuitana kuja kuharibu mjadala ambao kwa bahati nzuri umeshaeleweka.

Mola awalipe kila la kheri na wale ambao bado wapo gizani katika ukafiri nao Mola awatie nuru mioyo yao ipate kuona haki na kuingia katika uislamu.

QUOTE="Abuu Dharr, post: 30098211, member: 470108"]Chief

Nadhani hawa majamaa unawafahamu,kwa kuleta kwao matope na kulazimisha kuwa ni keki

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
It is even worse tafsiri hii uliyoileta sasa. Yaani umewajumuisha hadi watoto??!!!
Sasa nimeamini kwamba wewe lengo lako ni kukashifu. Mimi na miaka niliyonayo baba yangu ananitambulisha kwa watu kwamba ni mtoto wake.

How have you defined watoto kwenye hiyo context ndio imenifanya niungane na wadau kuiona dhamiria yako kwa upana.

Aya imeeleza mmeruhusiwa watu wapi na wapi, ikasema inayomiliki mikono yenu ya kiumeni ambapo sasa ndio tunaweza sema mpaka watoto wenu wa kuwalea ambao kisheria upo uwezekano wa kuwaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…