Why should I listen irrelevant material isiyojibu swali langu wakati swali ambalo nimekuuliza ni straight forward na hadi sasa umeshindwa kujibu?!
Ngoja nikuambie jambo moja manake all this time nilikuwa nakufanyia staha tu... keep it in mind, and trust me, wewe jamaa ni mweupe!!
Kumbuka kila nilipolazimika kutoa reference kwako, nilikuwekea ama Aya ya Kuran au Bible ambayo ni relevant to the subject!
Kinyume chake, wewe umeokota mstari somewhere na kudai hiyo ni Quran 4:24 lakini nilivyokuambia weka FULL VERSE ya hiyo 4:24 yenye hayo maneno yako; UMESHINDWA KUFANYA HIVYO hadi sasa!! Umeshindwa kwa sababu upo hapa kukashifu Uislamu na umejiandaa kufanya hivyo hata kwa kutumia Uongo wa dhahiri!!
Na endapo nakusingizia, basi weka hapa hiyo aya ambayo nimekuomba muda mrefu sana!
Kwa maajabu ya Mussa, wakati nimekutaka uweke Aya kamili ambayo uliandika wewe mwenyewe; ukakimbilia Google na kurudi na 23:5-6 tofauti na nilichokuuliza!!
Hata hivyo, sikufanya hiyana! Nikatolea maelezo your irrelevant post na kwa mara nyingine nikakukumbusha kuhusu Quran 4:24... na bado hadi sasa unakwepa kujibu kwa sababu unafahamu UMEDANGANYA!
Kiroja zaidi ni pale unaposhupaa na 23:5-6 ambayo hata hivyo sikuuliza halafu bila aibu unadai ni article iliyochambuliwa na Mwanazuoni wa Kiislamu!
Ngoja nikuulize: Ni article iliyochambuliwa na Mwanazuoni wa Kiislamu au wamesema ni article iliyochambuliwa na Mwanazuoni wa Kiislamu? Can you trace the difference?!
That's one but two, hata kama ni Mwanazuoni wa Kiislamu, did you do your homework kufahamu ni wa mlengo?!
Am so asking cuz', as far as I know, watu wengi including
Abuu Dharr na
culture gal wamekuambia since Day 1 kwamba ni Shia ndio wanapigia upatu hilo suala!! Ulishajishughulisha kufahamu huyo unayesema ni Mwanazuoni wa Kiislamu yupo mlengo upi?!
Kiroja zaidi ni pale unapoleta mada kuhusu Mut'ah marriage halafu unadhani umetoa point kupitia 23:5-6 ambayo inazungumzia suala la Watumwa na Vijakazi!!
Again, badala ya nisikilize irrelevant video, jibu kwanza swali langu la awali na kama huna jibu; kiri hapa kwamba ulikuwa unasema uongo!