Zinaa huleta ufukara

Zinaa huleta ufukara

Aisee,mkuu nimecheka sana.
Hiyo elfu20 mi ndio budget yangu. Mtaani kwetu guest elfu7 hadi 8 ikizidi sana 10 (self). Sijawahi kumpa demu zaidi ya elfu10(pia itategemea na show aliyoitoa), akizingua hata buku5 anakula na buku1 ya nauli. Demu akiagiza msosi anakula posho yake mwenyewe . Demu mi huwa nakutana nae guest direct na muda wangu ni kuanzia saa 11 jion. Hiyo pesa nahakikisha inatoka kwenye dili tu za nje ya mshahara. Tena isiwe imepatikana hiyo elfu20 tu.
 
  • Thanks
Reactions: B51
nauli 0 kwa mguuu
gesti 5000
chakula juic ya ukwaju 100 pakt ,maji kandoro 100 mihogo 500
Posho ya demu 1500 ya pedi na 500 la kifurush

Jumla kuu 7700
 
Zinaa huleta uufukara

Nimeamini.....

Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.

Hebu mfano tu.

nauli ya demu 5,000/= au zaidi.

Gesti 20,000/" au zaidi

Kondom pakti mbili 2,000/=

Posho ya demu 20,000/=

Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=

Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.

Jamani.
TUACHE ZINAA.
Mimi huniongezea mbinu nyingi na kushugulisha ubongo wangu kupambana, ni kama hivi
1) natafuta hela ya maendeleo
2)natafuta hela ya kujikimu,chakula ,mavazi,maradhi,ada nk
3)hela ya bia na kuhonga
Hivyo vyote lazima vipatikane
 
Afu bado ntu anajitia kuoa mke wa pili

Mtakufa maskini😂😂😅
 
Kuna mwana siasa mmoja aliwa kusema masikini na roho mbaya ni mtu na mdogo wake mtoa post acha roho mbaya tafuta pesa
 
Kula RAHA ZA DUNIA KUNALETA UFUKARA!

Siyo kweli, sikubaliani na wewe.

Ulichofanya wewe hapo ni Mathalani ya maneno.

Acha kuwatisha Watu
 
Vipi kama demu yeye ndiyo anamaliza kila kitu,kazi yangu nikutoa gegedo pekee.
Kwa gemu la ridhaa haiwezekani, labda iwe ni rushwa ya ngono kwa ajili ya kuzima kesi au kufukuzia ajira, hapo mademu hawanaga ujanja. Humaliza wao kila kitu.
 
Zinaa huleta uufukara

Nimeamini.....

Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.

Hebu mfano tu.

nauli ya demu 5,000/= au zaidi.

Gesti 20,000/" au zaidi

Kondom pakti mbili 2,000/=

Posho ya demu 20,000/=

Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=

Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.

Jamani.
TUACHE ZINAA.
ngoja nihifadhi maoni yangu... Maana nijuavyo mimi inaongeza mzunguko wa fedha na kukuza uchumi
 
Mkuu we usietomba sasa hivi utakua unamilki billion of dollars na Bentley za kutosha mkuu
 
Back
Top Bottom