Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,807
- 8,963
Ila ntahitaji 7800 kukikuchaUlisha acha kuwatia watu ufukara? Kama ni hivyo njoo pm maana hakutakuwa na gharama za kukusafirisha 😎
Ila ntahitaji 7800 kukikuchaUlisha acha kuwatia watu ufukara? Kama ni hivyo njoo pm maana hakutakuwa na gharama za kukusafirisha 😎
Zinaa huleta uufukara
Nimeamini.....
Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=
Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.
Jamani.
TUACHE ZINAA.
Kwani ulikuwa unagharamia mwenyewe?Mi nilisha acha

7800 Itapendeza kama ukimtoa Jfnauli 0 kwa mguuu
gesti 5000
chakula juic ya ukwaju 100 pakt ,maji kandoro 100 mihogo 500
Posho ya demu 1500 ya pedi na 500 la kifurush
Jumla kuu 7700
Kwani kufa maskini ni kosa?Afu bado ntu anajitia kuoa mke wa pili
Mtakufa maskini![]()
NdioKwani kufa maskini ni kosa?
Daa acha kabisa tatizo genye zikipanda hazina m' babe hapa napiga mahesabu ya kutoroka ofisini nikadinye kwanza akili ikae sawa. Dem mwenyewe nimemzungusha sana ngoja nikampe haki yake.Zinaa huleta uufukara
Nimeamini.....
Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=
Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.
Jamani.
TUACHE ZINAA.
Niko malinyi huku hakuna iyo kitu kwa wanaume tena, ntashangaa kuniambia men nae anahongwa sababu mi hata tabasamu lako linatosha kuwa ushawishi sembuse fwezaNdugu upo dunia gani mkuu? Siku hizi Mambo ni vice versa
Punguza ukali wa maneno
Hahaha ndio maanaNiko malinyi huku hakuna iyo kitu kwa wanaume tena, ntashangaa kuniambia men nae anahongwa sababu mi hata tabasamu lako linatosha kuwa ushawishi sembuse fweza
Hahahaha .Kwani ulikuwa unagharamia mwenyewe?![]()
True✓nauli 1,000.
chakula chips kavu 1500.
Gest Kwa rafiki.
Posho ya demu 5000.
Jumla 7,500.
gharama zingine za kujitakia.
Ushauri mbaya kabisa !! UsithubutuPigeni puli
Mkuu eti posho ya mchepuko 20,000/=!Hili suala tunalichukulia powa lakini Ndugu zanguni swala la Zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta Umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
Nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/= Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara Mademu 10 au nakuendelea.
Bado kuna wale naomba Vocha au ninunulie Umeme.
Amka ndugu yangu..
Linda kipato chako kwa matumizi yamsingi..
Siku zote Mchepuko haunaga fadhila.. Acha kujiletea stress maisha ukayaona Magumu kumbe unajibebesha mizigo isiyokuhusu.