Zimwi au pepo kumbe huonekana kwa camera?

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,024
1,232
Nimeiona YouTube moja kuwa
Ghost caught live in camera,hebu nawe tafuta YouTube andika hivo ujionee maajabu. Kumbe waweza pishana nalo mlangoni,au barabarani. Kumbe nywele zikisisimka huwa ni kweli pepo au wachawi wapo eneo hilohilo.
 
akili za youtube changanya na zako
 
Jiulize kama ni kawaida kuonekana kwenye camera kwa nini hii imekuwa habari ?
 
Miaka ya 90 kuliwah tokea msiba huko kanda ya ziwa musoma.
Sasa wakat jeneza limeweka nje wanaaga wakawa wanapiga picha zile mnato na camera za enzi zile YASHIKA" WAkat wa kusafishwa zile picha juu ya jeneza kulionekana bibi wa pale jiran kapozi na bundi juu ya lile jeneza ilihal wakat wanaaga hapakuwa na kitu juu...ila camera ikachukua kilichokuwepo....so unganisha dots
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom