Zimechapwa usiku kucha Congo wacha iitwe Congo aisee

Zimechapwa usiku kucha Congo wacha iitwe Congo aisee

Nachoshangaaga Wakongomani ni wazuri wa kukata viuno na kuimba,wengi tunao Tanzania hasa pale Kinondoni. Ukiwaambia ulinzi wa nchi yao hawajui A wala Z. Watasaidiwa ulinzi na nchi jirani mpaka lini hawa! Kila siku wasaidiwe kulindwa,ni aibu kwa wanaume!

Hahaaa viunoo mukujeee ndio vileee
 
kwa wale hawajaskia hii shughuli na wangetamani kujua huwa vipi, tazama hii video, uone jinsi mwanahabari anatokwa na jasho alipojifanya kiherehere na kuandamana na wanajeshi kwenye shughuli yao.

 
Last edited by a moderator:
Mwandishi naye bhana kama anajijua ni muoga kwanini alienda battle field
 
kuuana muuane wenyewe halafu lawama muwape jumuiya ya kimataifa
 
Mwandishi naye bhana kama anajijua ni muoga kwanini alienda battle field

ukiwa mbali na nyumbani kuna mambo unakua unahitaji kushare na ndugu zako... JF ime extend familia yangu kwa nini nisi shee na nyie.... mimi jasiri bwana nimeishi Najaf mwaka 1 wewe unaweza field kama ile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom