msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Usiku wa kuamkia leo mji wa Goma ulizizima baada ya watu wasiofahamisha kumwaga njugu za kufa mtu mjini kwa silaha nzito nzito, kibaya tu ni kwamba vyombo vya habari vya kimataifa kimyaaaaaa wakati watu wamepoteza maisha.
Sijui leo itakuwaje tuombeeni dua tu, ndio maana kwa hakika huwa namuomba Mola wetu aendelee kuilinda nchi yetu Tanzania.
Mrusi ana sauti mbaya aisee.
Sijui leo itakuwaje tuombeeni dua tu, ndio maana kwa hakika huwa namuomba Mola wetu aendelee kuilinda nchi yetu Tanzania.
Mrusi ana sauti mbaya aisee.