Siku 100 ni ndogo Sana kufanya Yale mambo na sio 100 hata akipewa miaka 5 hatoweza kuyafikia
Kosa ni pale unapoamini maneno ya mwanasiasa .
Ukiwa mfatiliaji mzuri utagundua 99% ya ahadi ambazo wanasiasa huwa wanahidi huwa hazitekelezeki na sio Tanzania duniani kote wanasiasa hutekeleza mambo ambayo hwakuahidi kuliko waliyohadi .