kimsingi na nijuavyo mimi,walipewa siku 14 za kuwasilisha utetezi wao,ambapo wamefanya hivyo.utetezi nadhani lazima upitiwe kwanza na kufuata taratibu zote kwa mujibu wa katiba ya chama.kwa hiyo HAWAKUPEWA SIKU 14 ZA KUFUKUZWA!Mnaouliza hili jambo weng vichwa vya panzi,kwani kuna sehemu walisema kuwa katika hizo siku kumi na nne watakuwa wametoa maamuzi,kama kuna mtu ana nukuu ya aina hiyo aiweke hapa ndo tuendelee kujadili.
Kwa hiyo kwa akili zako Zito bado naibu katibu mkuu na Kitila na Mwigamba bado viongoziwanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
kama wewe ni mtu wa kulelewa utakuwa umenielewa nimekwambia maswala ya siasa yajadiliwe kisiasa kuanza kumkebehi mtu sababu ya mapungufu yake ya kimaumbile sababu ya ushabiki wa kisiasa si jambo jena hata siku moja huwezi niona namnanga mtu kwa kilema alicho nacho hata kama ni waccm ,cuf,au chadema na kama ukiendekeza hilo utajibiwa kwa mifano dhahir .kama ni matusi tukana,kama ni maneno ya dharau,kejeli etc yaseme lakini si kusemea mtu kwa mapungufu ya kimaumbile aliyo umbiwa, kuwa muelewa wewe zuzu usijifanye mjuaji kwa kutaka sifa za kijinga hapa jukwaani hujafa hujaumbika zuzu wewe.
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
kimsingi na nijuavyo mimi,walipewa siku 14 za kuwasilisha utetezi wao,ambapo wamefanya hivyo.utetezi nadhani lazima upitiwe kwanza na kufuata taratibu zote kwa mujibu wa katiba ya chama.kwa hiyo HAWAKUPEWA SIKU 14 ZA KUFUKUZWA!
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
Hizo siku 14 hazitoisha maisha.
Hujui kuwa kuna kiwanda cha uongo kule?

Hoja zilizo jibiwa ni ngumu mmno, jamaa bado wanatafakari watoke vp.
kakata rufaa..lazma askilizwe...vp lakn zile sku alizotoa nape kwa mafisadi kujiondoa ccm bado hazijaisha?
Kwani uliambiwa siku hizo 14 zitaanza kuhesabiwa lini?kulikuwa kuna umuhimu gani wa kutaja siku za kujieleza
Hizo siku 14 hazitoisha maisha.
Hujui kuwa kuna kiwanda cha uongo kule?
Hebu vuta picha hili tukio lingekua ccm cdm ndo wengejua ni muda muafaka kwa wao kuchukua point tatu muhimu maana mara nying sana wameonekana kukinyooshe vidole chama tawala hususani kinapochelewa kutoa maamuzi mazito kama yale ambayo wao wangepaswa kuyafikia kwa muda mfupi kama ilivyokusudiwa mwanzoni mwa tukio hili waacheni wasuesue hawajui ndo wanapoteza point zaokawaida muungwana humuongezea mkosaji muda hata kama ni wakulipa deni.
kulikuwa kuna umuhimu gani wa kutaja siku za kujieleza
Rufaa? bila hukumu? hiyo hukumu ilitolewa lini hata yeye akate rufaa?
Uongo ukizidi huwa mnajidanganya wenyewe. Hayo ndio madhara ya uongo.
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
Naona haina tofauti na ile ya Nape ya kuvua gamba ambayo hadi leo hatujaona Kama imetekelezwa!! Siasa balaaaa!!