KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Tuliwahi kuwa mfano wakati wa ukombozi kuwaondoa wakoloni, lakini baada ya hapo tumekuwa tukirudi kinyumenyume katika mambo mengi tuliyotegemewa kuwa mfano kwa wengine. Tusipokuwa waangalifu tutaingia kwenye timu za akina DRC, Uganda, Burundi na wengineo wa aina hiyo.Hivi lini Tanzania iwe mbele katika jambo lolote? Hata kwenye sector ambazo tuna comparative advantage kama utalii na Mining bado tunaongozwa na wengine, duh
Tuliwahi kuongoza miaka ya 60s kwa kuhifadhi freedom fighter kwasababu hatukua na competitor tulipata uhuru mapema ndomaana tuliongoza.....tusipo kua wangalifu tutaingia kwenye timu ya DRC Burundi na Uganda, mkuu tulishaingia na miguu yote miwili, kuna tofouti gani baina ya Uganda na Tz kuhusu demokurasia, intorelence kwa wapizani, ufisadi, kuingilia uhuru wa Mahakama na Bunge nk. kwa kasi hii tutawapita.Tuliwahi kuwa mfano wakati wa ukombozi kuwaondoa wakoloni, lakini baada ya hapo tumekuwa tukirudi kinyumenyume katika mambo mengi tuliyotegemewa kuwa mfano kwa wengine. Tusipokuwa waangalifu tutaingia kwenye timu za akina DRC, Uganda, Burundi na wengineo wa aina hiyo.
Tuliwahi kuongoza miaka ya 60s kwa kuhifadhi freedom fighter kwasababu hatukua na competitor tulipata uhuru mapema ndomaana tuliongoza.....tusipo kua wangalifu tutaingia kwenye timu ya DRC Burundi na Uganda, mkuu tulishaingia na miguu yote miwili, kuna tofouti gani baina ya Uganda na Tz kuhusu demokurasia, intorelence kwa wapizani, ufisadi, kuingilia uhuru wa Mahakama na Bunge nk. kwa kasi hii tutawapita.
Kwa haya ya hapa, sahahu! Jiwe is a real.........Uchaguzi Zimbabwe umefanyika bila ya figisu figisu zozote na baada ya kampeni za kistaarabu kabisa (ukiondoa jaribio la kumlipua Mnangwaga) kufanyika.
" Zimbabwe experienced a beautiful expression of freedom and democracy. In our millions, we voted in the spirit of tolerance, mutual respect and peace," Mnangwaga wrote on twitter after polls closed.
Imebaki kusubiri matokeo, na kama yote yatakwenda vizuri heshima kwa Zimbabwe itarejea.
Inafaa nasi tujifunze kwa wenzetu. Mabadiliko yanafanyika Ethiopia na Waziri wao Mkuu mpya, ili kasi yao ya maendeleo iimarike zaidi.
Tunawasikiliza kwa makini wenzetu wa karibu sana hapa Kenya, na wao wanasema wamechoka na mifarakano ya kikabila na mengine mengi yanayowarudisha nyuma. Wanaamua kufuata njia ya maelewano bila kujali itikadi zao
Je, sisi ndio tutakaoamua kurudi nyuma, eti kwa kisingizio cha kuharakisha maendeleo? Haya yatakuwa maendeleo ya namna gani ya mifarakano!
Mkuu kwa Tznia yetu nnayo ona kwasasa hao watu makini watatoka wapi? Wtz wote Intellectuals professors clergymen ni waoga wakupindukia, hatuwezi political risk kabisa.....nakuambia JPM angekua mwenye kiti wa chama kama ANC Jublee, PPD angekua kashatimuliwa kitambo nakufukuzwa kwenye chama angebisha.....ila Ccm huwezo hawana jama amekua mzito kuliko hata chama.Natumia lugha ya matumaini. Litakuwa janga kubwa tukielekea njia ya Uganda. Uwezekano huo upo. Lakini bado sitaki kuamini kuwa itakuwa hivyo. Yaani Uganda imekuwa mali ya yule mzee. Akisema badili katiba niendelee, katiba inabadilishwa. Sasa wamebadili tena kuondoa kizuizi cha umri kilichokuwa kinamziba asiendelee kugombea. Yaani mtu mmoja anaifanya nchi kuwa kama mali yake binafsi? Na wapiga vigelegele kila mara hawakosekani, hata kiongozi awe mbaya kiasi gani. Na maadam anazo nyenzo zote za kumlinda, hakuna anyeweza kufanya lolote.
Imebaki tu tuombe huruma yake asifuate njia hiyo.
Mi nimeanza kuchanganyikiwa mkulu kasema kwenye madini anataka just a fraction wawe na uhakika wa super profit na wabebe tuHivi lini Tanzania iwe mbele katika jambo lolote? Hata kwenye sector ambazo tuna comparative advantage kama utalii na Mining bado tunaongozwa na wengine, duh
Tayari watatu chini!Eti unasema?
Mitaa meupee,ni vikosi tu vya police ndio vinaonekanaTayari watatu chini!
Lakini ,swali linaendelea kuwa relevant: UCHAGUZI WA ZIMBABWE SAFARI HII ULIKUWA HURU na wa HAKI?
Tusubiri taarifa zaidi kupata jibu
Nadhani kuna umuhimu wa vyama vya siasa kutafuta njia mbadala zaidi ya kuingia mitaani mara baada ya uchaguzi ili kushinikiza ushindi. Ni bora zaidi kubana palepale kura zinapohesabika na kuhakikisha faulo haifanyiki hapo.Mitaa meupee,ni vikosi tu vya police ndio vinaonekana