Zimbabwe Kujenga Interchange Road ya Kwanza Jijini Harare

Ndo ile ya ubungo interchange?

Hii render ya hii interchange imeshatumiwa na nchi kibao ikiwemo Ethiopia na Kenya, leo tena naskia toka kwako kwamba Zimbabwe nao wanatumia hii render, chamsingi tu nakushauri ewe muanzisha uzi urizike na ulichonacho na co kelele za waafrika mitandaoni, kama unavyoona Zimbabwe ndiyo kwanza wanataka kujenga interchange ya kwanza ila wewe nchini mwako tayari unazo, so kwanza Rizika.View attachment 1977487View attachment 1977488
 
Back
Top Bottom