Zilipendwa

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Katika pita pita yangu katika mitaa ya JF nikagundua kwamba zilipendwa imerudi tena hewani, nawashukuru sana kwa hili, lakini nyimbo nyingi za zamani zilizokuwa zinapatikana enzi za Jambo Forums sasa hivi hazipo. Nawaomba kama itawezekana mrudishe nyimbo hizo. Natanguliza shukrani.
 
leo ndipo nimegundua kuwa kumbe kijiwe hiki kinapiga mziki wa enzi zetu. Kilichoniboa ni kuwa nyimbo nyingi ama zimepewa majina yasiyokuwa sahihi ama zimeonyeshwa kuimbwa/ kupigwa na waimbaji/bendi zisizo sahihi. Ninataka kusahihisha makosa ya aina hii kwa nyimbo zote zilizopigwa mwishoni mwa miaka ya sitini, miaka ya sabini na mwanzoni mwa miaka ya themanini. Je nifanyeje ili kuweka masahihisho hayo?
 
Niliwasiliana wakati fulani na Ivisible na akasema ninaweza kuandika na kumtumia marekebisho. Tangu siku hiyo nimekua nasikiliza mziki kwa Mwana Kijiji na hivyo sijapitia tena na kuanza kuleta masahihisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom