BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,115
Katika pita pita yangu katika mitaa ya JF nikagundua kwamba zilipendwa imerudi tena hewani, nawashukuru sana kwa hili, lakini nyimbo nyingi za zamani zilizokuwa zinapatikana enzi za Jambo Forums sasa hivi hazipo. Nawaomba kama itawezekana mrudishe nyimbo hizo. Natanguliza shukrani.