Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,031
- Thread starter
- #21
Akina pwagu na pwaguziWakati wa kazi....Ombi lako....Jambo...Mahoka...
Mahokaaaaaaaa
Walikuwa wakinifurahisha
Teh
Akina pwagu na pwaguziWakati wa kazi....Ombi lako....Jambo...Mahoka...
Ooh mwananchi wakulima wa kisasaPole kwa kazi na mkulima wa kisasa
Ma jira kilikuwa kizuri sanaDingi alikuwaaga mnoko, saa 3 usiku anafunga mlango watu wote walale, ukichelewa nje utajutia. Hivyo alama yetu ya kukaribia saa 3 ni music unaowekwa wa kuashiria kuanza kwa kipindi cha MAJIRA saa 2.45 usiku, ukisikia music huo utakimbia ufe ili kuwahi geti lisifungwe kabla yako kuingia.
Kipindi hicho kilikua kinaitwa Mikingamo,kinaanza na wimbo wa "Bomu limeshapasuka wahujumu wanatanga tanga Eeeh! Milanguzi nayo iko ndani eeh!"Kipindi hicho wanaita rushwa ni adui wa haki
Na maduka ya ushirika ya kupanga foleni kununua sukari na unga nk
Ilikua raha
Teh
Hakika unakumbukumbu mkuuKipindi hicho kilikua kinaitwa Mikingamo,kinaanza na wimbo wa "Bomu limeshapasuka wahujumu wanatanga tanga Eeeh! Milanguzi nayo iko ndani eeh!"
Hahahaa! Mkuu hiyo ilikua ni mwaka 1987 ilipofanyika sabasaba kitaifa mkoani Shinyanga mgeni rasmi akiwa president Ali Hassan Mwinyi.Ilipoanza sabasaba " wanashinyanga ngw'eji gwashiga gw'ilegebishe ugulema wa kisasa balemi ngw'angaleli kwanza amalale mgab'eje"
Huu wimbo nimepiga watoto wa wazaramo sana maana walikuwa wananitania sana maana ndo nilikuwa nimeingia jiji nikitokea bara na kiswhili cha kisukuma
Aki ya Nani watani wangu mlipo kunyweni ,kuleni nakuja kulipa
Teh
Komesha nimezitumia sanaKulikua na TANGAZO LA DAWANOL
"Mgongo wangu waniuma maumivu teeleee, dawa ya maumivu dawa yenye nguvu dawa ni dawanol,
Tangazo la IPP : "Ah! mama Mariam vipi?"....."Hizi nguo dadaangu, nimetumia kila aina ya sabuni lakini bado tu hazitakati!!" "Si utumie Komesha?" Kulikua na sabuni iliitwa Komesha,
Sintamsahau Michael katembo alikuwa na kipindi kinaitwa "Mbiu ya mikoa"
Hapo zinapigwa ngoma asilia za kila mkoa.
Waliniacha hoi waendesha malori ya kubeba pamba yaliyokuwa yakijulikana DAFHahahaa! Mkuu hiyo ilikua ni mwaka 1987 ilipofanyika sabasaba kitaifa mkoani Shinyanga mgeni rasmi akiwa president Ali Hassan Mwinyi.
Hongera mkuuBima yako,IPP hewani,Jenga na Mecco,Mtaalamu wetu,ushirika,Shirika la Posta na Simu,Sukita,nimekumbuka hivyo.
Mvi ni ukoo tu mkuuUkiona hivyo ujue mvi zimekukaribia mkuu, kama huja save za uzeeni basi tena