Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,474
- 10,418
Nipo counter ya juu huku
Nipo counter ya juu huku
Usiogope...
Babu bwanaaaa mmmh!! Ngoja nikuwekee mabanoUsiogope...
Hata juma kakele pana wimbo aliimba na mbongo flava mmoja walipokezana vizuri sana na binti huyo nadhani ulikuwa ukizungumzia safari. Kimsingi hawa walikuwa wanamuziki waliowivya ahsante kutukumbusha mazuri ya zamani.Yeah Moshi na Mbwembwe wamepambana sana na kina Ali Choki na Muumini Mwinjuma.
Enzi hizi ilikuwa burudani sana...
Mzigua90 alikuwa bado hajazaliwa
Aisee kama wewe ndo huyo ningelikuwepo lzm ningelikukula!View attachment 680968
Kasinde ni huyo wa nyuma aliyevaa teremka tuzozee. .....
Aisee kama wewe ndo huyo ningelikuwepo lzm ningelikukula!
Ilikuwa vitu natural tu....View attachment 680968
Kasinde ni huyo wa nyuma aliyevaa teremka tuzozee. .....
MmmhIlikuwa vitu natural tu....
Halafu ukifa wajukuu tutabaki na nani?Mahabaa kajukuu
Mahaba niue
Kuna madogo wengi huku... ntakuachia HR 666Halafu ukifa wajukuu tutabaki na nani?
Huyo hafaiKuna madogo wengi huku... ntakuachia HR 666
Kumbe kuvaa walianza enzi hizo..sasa hivi Wazee mnashangaa nini?Unafiki au?Huyo dada kapiga kitu kali sana kifuani hapo.Kumbe hauvumi lakini umo enh?
Ndio hapo mimi nashangaa..tena huko nyuma watu walikuwa watenda dhambi sana.Wanaogopa matendo yao ya huko nyuma ndio watoto wanyafanya.Ona vimini mapaja nje nje..ona majamaa vifuaa wazi.Ila daah walipendeza saana enzi zao.Leo serikali inaƙimɓizana na wavaa vimini wakati walikuwepo tangu masantura wapo au kamanƴola