ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao


B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,430
Likes
3,108
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,430 3,108 280
FM ACADEMIA 2018 Dar es Salaam, Tanzania timu ni ile ile lakini kocha mpya full dozee wazee wa Ngwasuma chini ya Patcho Mwamba live HD

Source: saluti5.com
 
kedrick

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
4,294
Likes
2,928
Points
280
kedrick

kedrick

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
4,294 2,928 280
nyie wazee wa zamani mlishindwa hata kurekodi video za nyimbo zenu au hata performance
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,430
Likes
3,108
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,430 3,108 280
March 17, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania

Rashid Pembe aelezea siri ya anguko la muziki wa dansi Tanzania lilianzia mwaka 1994 na kufikia kilele mwaka 2004.

Ambapo wadau wakubwa kama studio, media n.k waliofadhili kutoa, kutangaza na kuuza album za muziki wa dansi kuelekeza nguvu zao ktk muziki wa bongo -flava ili hata watoto wadogo wa miaka hiyo ya 90 waikubali.

Anakubali media zina nguvu za kumnyanyua msanii au bendi na kutoa mfano Saida Karoli alivyobaniwa na media alipotea na kurudi kwao. Lakini media walipoamua kumpa airtime Saida Karoli amerudi upya na kuendelea na muziki wake.

Endelea kumsikiliza mpiga saxophone nguli wa Vijana Jazz Rashid Pembe akifunguka wanavyokabiliana na mabadiliko hayo kwa kwenda Facebook, youtube na WhatsApp ili kufikia umma wenye kufuatilia muziki wa dansi :
Source: saluti5.com
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,012
Likes
2,506
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,012 2,506 280
Nimeguswa na hisia za Mzee Pembe,Vijana Jazz ikiwa iko moto kweli kweli,ndo hivyo zimebaki stori!
Ila sikumpata vizuri,mbona miaka ya 1996/97,Vijana Jazz walitoa Album iliyo hit(Tafrija la Kuuaga Umaskini-Umaskini bye bye) ambapo ilifanya vizuri tu. Naona anguko la Dansi lilianza miaka ya 1999 kuja hadi 2000. Baada ya hapo ilikuja Dansi mpya ya Twanga Pepeta miaka hiyo ya 1999-2006!Twanga,Muungano,TOT,Tam Tam na FM Academia,Beta Musica,Extra Bongo na Dar Musica. Hata hivyo nazo zinaelekea kufutika.
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,430
Likes
3,108
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,430 3,108 280
March 2018
Songea, Ruvuma
Historia ya Orch. Matimila exclusive toka Songea
Historia ya Orch. Matimila band na kwanini iliitwa Matimila. Wakati huo mji wa Songea ulikuwa mdogo sana lakini burudani kibao. Sehemu maarufu za starehe zikiwemo 'Kaburi la Pesa' ...Deluxe...NBC... kwa kuzitaja kwa uchache maana zilikuwa nyingi.
Video : source : Ruvuma TV
Ostrich Kasongo, Cosmas Chidumule, Yero Kiparata, Chibanda Sony....wanamuziki wa Nkashama Nkoy..Kyauri Voice, baharia Timmy Thomas wa Toma Toma Band, Roy Mukuna...Nabii Mussa mpiga bezi matata mbongo. .Mose Sengo Fan Fan. .Kolee-wa-Katetee majina makubwa ya wanamuziki waliohusishwa na nguvu ya Matimila..wimbo wa Matimila kwa jina Almasi huku Kasaloo akimkubali mpiga kinanda Willy Gama..ilikuwa hatari kubwa enzi hizo..Ramazani Skassy Kasambula. ..Ruvuma mpaka Maputo bar Gongo la Mboto Dar es Salaam. ..

Vifaa vya rangers, yamaha,orange vya muziki alivyotumia Franco wa OK Jazz pia vilikuwapo mjini Songea ktk Matimila band . ..full burudani tu hata Pepe Kalle hakuwa na uwezo wa zana hizo matata za muziki wa dansi walivyokuwa navyo Matimila.

Basi tujiunge moja kwa moja toka manispaa ya mjini wa Songea na kumsikiliza Mzee Mpenda Mvula akitupa historia kamilifu Remmy Ongala na bendi ya Matimila na burudani za enzi hizo :
Info txt : Source: Ruvuma TV
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,430
Likes
3,108
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,430 3,108 280
Orch. Kyauri Voice - 'Bangungi' Kosa Gani' - Bangungi (Mosquitoes) The guy is compalaing why bangungi and banzinzi (flies) are biting him... kosa gani mi nafanya
Used to play live at Mpakani Bar, Mwenge Dar-es-Salaam Tanzania.
Mzee Hatibu Iteytey Saxaphone. lead Vocalists Bella Kabaa, Mukuna Mukuna Roy, Batii Osenga, Ngoy Ossi Senga, Mukumbule Parashi, Monga Staniel (Stan) and Kawelee Mutimwana lead guitar

Source: Eddie nassor
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,430
Likes
3,108
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,430 3,108 280
King Kiki ndani ya kipindi cha Pepeta Afrika cha Sibuka TV & Media akihojiwa na mtangazaji Hamza Kalala. King King anatupa historia yake ndefu toka bendi ya Fauvette, Safari Nkoi, Maquiz du Zaire wana Kamanyola bila jasho, Orch. Safari Sound wana Masantula, King Kiki Double O, Sambulumaa Band, Zaita Musica, ....

Source : SIBUKA MEDIA
 
R

Robert Mjomba

New Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
2
Likes
0
Points
3
R

Robert Mjomba

New Member
Joined Apr 30, 2018
2 0 3
Kuna wimbo nauhitaji wa mwaka 2014, wameimba wamarekani, siujui jina lake wala msanii aliyeimba lakini naweza kuielezea video yake.

Nani ni mpenzi wa nyimbo za mamtoni anisaidie?
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,012
Likes
2,506
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,012 2,506 280
Miaka hairudishiki,lakini daaa,sina cha kuongea. Muziki ulikua huo bwana,siyo hizi kelele za siku hizi.
 
A

Arthur Andrew

Member
Joined
Sep 5, 2011
Messages
9
Likes
2
Points
5
A

Arthur Andrew

Member
Joined Sep 5, 2011
9 2 5
Balantanda na wadau wengine, tafadhali sana naomba audio ya wimbo unaitwa Bi Sophy wa Maquiz du Zaire, nmeutafuta sana bila mafanikio
 
J

Japhet Boniphace Sanga

New Member
Joined
May 7, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
J

Japhet Boniphace Sanga

New Member
Joined May 7, 2018
1 0 3
Mimi mkuu naomba nisaidiwa kupata nyimbo hizi nime zi miss sana tu nazo ni telegram, mama mdogo alinichukua kijijini na Siri ya ndani za vijana harafu Naomba tuaminiane na wenye nyumba msinyanyase wapangaji za DDc ,Pia Penzi la kusuasua na maisha kigeugeu za mca internation band
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,339
Likes
2,029
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,339 2,029 280
Kuna wimbo nauhitaji wa mwaka 2014, wameimba wamarekani, siujui jina lake wala msanii aliyeimba lakini naweza kuielezea video yake.

Nani ni mpenzi wa nyimbo za mamtoni anisaidie?

Waulize wamarekani weusi watakuambia jina lake.
 
2017 No Name

2017 No Name

Senior Member
Joined
Jul 26, 2017
Messages
161
Likes
103
Points
60
2017 No Name

2017 No Name

Senior Member
Joined Jul 26, 2017
161 103 60
Hahaha,.. Ka nawaona hivi watoto wa sasaivi watakavyokua wanahadithiana story za Yamoto Band, King Kiba na Diamond miaka 30 ijayo huko,.. I bet nao watakua wanawaona madogo wa kipindi hicho hawajui mziki,..
 

Forum statistics

Threads 1,238,934
Members 476,277
Posts 29,337,301