ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

e9181d5cc986d6d50a189f99c9a59299.jpg


Nipo counter ya juu huku
 
Yeah Moshi na Mbwembwe wamepambana sana na kina Ali Choki na Muumini Mwinjuma.

Enzi hizi ilikuwa burudani sana...

Mzigua90 alikuwa bado hajazaliwa
20z8uvt.jpg
Hata juma kakele pana wimbo aliimba na mbongo flava mmoja walipokezana vizuri sana na binti huyo nadhani ulikuwa ukizungumzia safari. Kimsingi hawa walikuwa wanamuziki waliowivya ahsante kutukumbusha mazuri ya zamani.
 
Mleza uzi. Mbona huko kwenye email ninapodawnload hzo nyimbo naambiwa hyo page haipo shida nini
 
Leo serikali inaƙimɓizana na wavaa vimini wakati walikuwepo tangu masantura wapo au kamanƴola
Ndio hapo mimi nashangaa..tena huko nyuma watu walikuwa watenda dhambi sana.Wanaogopa matendo yao ya huko nyuma ndio watoto wanyafanya.Ona vimini mapaja nje nje..ona majamaa vifuaa wazi.Ila daah walipendeza saana enzi zao.
 
wadau nisaidieni kuchambua wimbo wa malkia wa Congo Mbilia Bell.
kuna kibao chake matata sana kinaitwa C'EST TOI QUE J'AIME. kwa mujibu wa kifaransa changu cha kuunga na super glue wimbo unaitwa NDIWE NIKUPENDAYE!

 
Back
Top Bottom