Wanamuziki wa Congo(DRC) na vituko na mikasa yao. Akina Defao, Madilu,Franco Luambo

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
GENERAL DEFAO
mara ya kwanza nasikiliza album ya Defao (Defao Matumona) ilikuwa inaitwa General and Big Stars mwaka 1993 nlipenda saut ya huyu jamaa alikuwa naimba kw autulivu flani ingawa sikuwa najua maana ya nyimbo zake. kuanzia hapo nilikuwa napata nafasi ya kusikiliza kila album yake.kipindi hicho alikuw ana mwonekano mzuri hakuwa amejichubua sana kiasi hiki cha mwisho ambapo alikuwa mpaka anaonekana kama vile ni ghost.

ana album nyingi sana lakini Sala Noki 1998 ni album ambayo binafsi nliikubali sana pamoja na Amour Interdit 1996. nyuma ya hapo zilikuwepo album kama Big Stars Du general Defao ya mwaka 1992 ,Famille Kikuta 1997 na zile akiwa na Choc Stars. alikuw ani muimbaji mzuri sana na style yake ya kucheza haikuwa ukitumia nguvu sana pale anapochangamka baada ya kulalamika. miaka ile ya africa moto,mpaka chamukwale...ni mtaalamu mzuri wa rhumba,ndombolo na soukous.

jambo la kusikitisha lilikuwa huyu jamaa inasemekana analiwa jicho.alikuwa si riziki... hili lilikuja kufahamiaka baadaye na hata alipokuja dar kuna watu inasemakana walipata nafasi ya kumla jamaa. na ukija kumwangalia jamaa kwa kweli alijichubua sana pamoja na kuwa wakongo wanaupenda sana weupe ila huyu jamaa alifikia mpaka kuonekana kama ni lijimama flani shangingi hivi. alikuwa amejichubua na alipenda kuvaa vito mikononi na shingoni. defao hakuwahi kukanusha jambo hili kuwa watu wanamla nyota.

MADILU SYSTEM

Jean de Dieu Makiese aka Madilu Multi System....huyu jamaa alikuw amuimbaji mzuri sana hawa wa rhumba toka miaka akiimbia TP OK Jazz na akina Simaro kiambukuta, akiimba na akina Franco Luambo Makiadi. toka miaka ya 1970 mpaka 2007 alipofariki. aliibuka TP OK Jazz na kibao cha Mamou ndo kilimuinua akaanza kusikika. Franco et le T.P. OK Jazz Presents Madilu System mwaka 1985. album hii utamsikia kwa mara za mwanzoni kabisa akiimba kwa utulivu. sauti alikuwa nayo nzuri sana. umewahi usikiliza wimbo wa frere duardo? akicheka? au ya Jean.. jamaa alikuwa akiimba kwa utulivu sana isikilie Frère Edouard 1996. mimi binafsi nilianza kumsikia miaka ya nyuma sana toka 1990 akiwa na TP ok Jazz. albuma yake ya Pouvoir 2000, na nyingine kadha wa kadhaa....

Madilu inasemakana alikuwa ni mshirikina sana. alikuwa mshirikina kiasi kwamba wanasema ilikuwa ili kupata pesa aliwahi kwenda kwa mganga ambako alitengenezwa ikawa kila baada ya muda flani inabidi afe... alikuwa na chumba maalum ambacho ilikuwa ikitokea ameenda kwenye kile chumba anatakiwa akae siku kadhaa ambapo huko atakufa na kuoza. ndani ya siku kadhaa mkewe inabidi aende akazoea wale funza akawaweke kwenye mifuko mikubwa ambayo ndo zilikuwa zinakuwa pesa.

inasemekana ilikuwa ni siri ambayo anaijua mkewe tu na hakutakiwa alie ikitokea hali hiyo.then baada ya siku kadhaa anazinduka akiwa kama binadamu na wanaendelea na maisha yao. suala hili lilikuja kuzungumzwa sababu duniani hamna siri.

shutuma hizi za ushirikina kwa wanamuziki wa kongo ni za zamani sana toka miaka ya akina Franco Luambo Makiadi, akina Pepe Kalle n.k wamekuwa na tabia hii ya kuamini sana ushirikina.

Lawama na shutuma za namna hii zimekuwepo hata kwao wenyewe kwa wenyewe. Mara kadhaa koffi olomide amekuwa akisema kuwa mwanamuzi fally ipupa alitoa sadaka wazazi.koffi anasema lacoste ni muimbaj mzuri sana kuliko fabregas.lakini kwa kuwa fabregas anatoa saba sadaka amekuwa maarufu na anapendwa sana.

Alipofariki kiongozo wa zaico langa langa dv moanda kulikuwa na ukakasi mkubwa nani achukue nafasi yake hasa kutokana na majukumu aliyokuwa nayo kishirikina kulisaidia kundi.

Imekuwa kawaida sana kwa wanamuziki wa kongo kuua wazazi,wake,watoto au wenyewe kwa wenyewe wanapotaka kutoa album au mara baada ya kutoa ili kuweza kuuza sana.lakini masharti mengine yamekuwa ya mwanamuzik kufanya mapenzi na mama yake mzazi ili aweze kuwa maarufu.ukiacha hayo wamekuwa wakirogana sana na kuharibiana kupitia wanawake n.k
 
Shunie kumbe ni mpenzi wa music huu? Bana Congo? Naufaham sana toka miaka hiyo ya 80s. Ukiniuliza habari za Tp ok jazz. Bana Ok jazz,orch vundumuna,orch lipualipua,orch shamashama, akina josy kiambukuta,tabu ley, mbilia bel,tshala mamaaa wa kuachia mashabiki tuone mbunye yake imevimba ndani ya chupi....

Akina kanda bongo man na ile issue ya Kenya alipopewa altimatum aondoke haraka sana... Ni mpenzi wa aina nyingi za music wa ndani na nje ya nchi.

Gudume mambo ninayoyapenda hayo natamani uendelee jamani
 
Hata pepe kalle alikuwa mshirikina sana kifupu wazairwaa wengi banajihusisha na ndumba hata akina kuambo luanzo makiadi balikuwa banafanya majambo haya....

apo kwenye ushirikina wa madiluu,ata pepe kale wanasema ilikua hivyo kwa hiyo itakua story za kutunga tu,cc mchana jr
 
Back
Top Bottom