Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,948
3,824
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
 
upumbavu mtupu, hujui unaloliwaza
 
Hahaha, Zenji wana ATCL au ndege zimepigwa chapa ya ATCL kama geresha...
 
Sijajua ni kwa nini Zanzibari mpaka leo haitaki kujitenga na Tanganyika! Wana Rais wao, Bunge lao, Jeshi lao mfano JKU na Mafunzo! bendera yao, mipaka yao, wimbo wao wa Taifa, ikulu yao, nk.
Tanganyika ndio haitaki kuiacha Zanzibar iwe huru na ijitegemee.

Ndio maana Chifu Hangaya anatunyoosha kimyakimya na kwa ufanisi mkubwa.

Wazanzibar wote inabidi wamuombee sana mama afya njema na maisha marefu, huyu ndio ametumwa na Mungu kuwaokowa Wazanzibar na unyonyaji wa Watanganyika.

Muungano hautavunjika ila kero zote za muungano mama atazimaliza kwa umahiri mkubwa.

Anaupiga mwingi sana, angalia teuzi zake sasa hivi, anataka Wazanzibar pia wawe wengi kwenye serikali JMT.
 
Toa ufafanuzi mleta huu uzi.
Huu si uzi hii ni kamba ,ndugu mwenye macho haambiwi tazama,nipe majina ya zile ndege ? Aibu wameenda kuandika hapa kazi tu,Una uelewa kuwa ndege aina ya helikopta ilizuiwa kutua Zanzibar-Unguja wakati wa kampeni,ndege ilikuwa na Mwenyekiti wa CDM GUIDE Mbowe kama sikosei, sababu ilikuwa haina kibali ya kutumia anga la Zanzibar.

Bado hujapigwa na mshangao au hata kujiuliza viereje hizi ndege kutua Zanzibar na kupokelewa kiTaifa ,najua kuna watu mahusda hawakupenda,roho zimebonyea,
Unajua sasa hivi Zanzibar ina nguvu kimataifa kuliko Tanzania,tuseme imeanza kuja juu na hili vibaka linawaumiza vibaya sana.
 
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?

07FE1E72-0CC0-4F22-94E7-7C1A9D1B0AA6.jpeg
 
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
Mimi nachojua zile ndege ni mali ya CCM siyo ya Watanzania. Kwasababu zimenunuliwa bila utaratibu na mkataba kuficha. Wachache wamegawana cha juu.

Kumbuka kila mradi CCM uanzisha kwaanzia gesi, mwendo kasi, barabara, Stigler e..t.c siyo kwa manufaa ya wananchi bali ni njia ya kutafuta fursa ya kupiga.

Yani ni masterplan wazuri sana wa wizi na wana uweledi wa kukkopa kwa wahisani. Ndo maana wako tayari kukumbambikia kesi za Ugaidi, kukutisha na kukuua ili wabaki madarakani milele kuilinda wao na familia kwa wizi wa ajabu waliokufanya.

Wote wafe tuuu
 
Kila ki2 dar, hizo mlizonazo haziwatoshi+dreamliner na Airbus na bombardier!!!! Mimi ni mmbara but nafurahia wazanzibari pia wawenazo. Acheni wivu na roho mbaya.
 
Mimi nachojua zile ndege ni mali ya CCM siyo ya Watanzania. Kwasababu zimenunuliwa bila utaratibu na mkataba kuficha. Wachache wamegawana cha juu.

Kumbuka kila mradi CCM uanzisha kwaanzia gesi, mwendo kasi, barabara, Stigler e..t.c siyo kwa manufaa ya wananchi bali ni njia ya kutafuta fursa ya kupiga.

Yani ni masterplan wazuri sana wa wizi na wana uweledi wa kukkopa kwa wahisani. Ndo maana wako tayari kukumbambikia kesi za Ugaidi, kukutisha na kukuua ili wabaki madarakani milele kuilinda wao na familia kwa wizi wa ajabu waliokufanya.

Wote wafe tuuu

Jina ZANZIBAR NA TANZANITE limewachanganya wakizani mali yawazanzibar, na ictoshe zimetuwa zanzibar 😆
 
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
Ama kweli wewe zuzu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Tanganyika ndio haitaki kuiacha Zanzibar iwe huru na ijitegemee.

Ndio maana Chifu Hangaya anatunyoosha kimyakimya na kwa ufanisi mkubwa.

Wazanzibar wote inabidi wamuombee sana mama afya njema na maisha marefu, huyu ndio ametumwa na Mungu kuwaokowa Wazanzibar na unyonyaji wa Watanganyika.

Muungano hautavunjika ila kero zote za muungano mama atazimaliza kwa umahiri mkubwa.

Anaupiga mwingi sana, angalia teuzi zake sasa hivi, anataka Wazanzibar pia wawe wengi kwenye serikali JMT.
Saivi mnafurahia muungano baadae msilie lie
 
Back
Top Bottom