Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

Huko ni mkoa wa Lindi, anakotokea Mh. K. Majaliwa, ( Mwalimu) Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Huu si uzi hii ni kamba ,ndugu mwenye macho haambiwi tazama,nipe majina ya zile ndege ? Aibu wameenda kuandika hapa kazi tu,Una uelewa kuwa ndege aina ya helikopta ilizuiwa kutua Zanzibar-Unguja wakati wa kampeni,ndege ilikuwa na Mwenyekiti wa CDM GUIDE Mbowe kama sikosei, sababu ilikuwa haina kibali ya kutumia anga la Zanzibar.

Bado hujapigwa na mshangao au hata kujiuliza viereje hizi ndege kutua Zanzibar na kupokelewa kiTaifa ,najua kuna watu mahusda hawakupenda,roho zimebonyea,
Unajua sasa hivi Zanzibar ina nguvu kimataifa kuliko Tanzania,tuseme imeanza kuja juu na hili vibaka linawaumiza vibaya sana.

UAMSHO mmerudi kivingine.

Kukaa selo miaka 8, sasa mmeanza upya
 
Back
Top Bottom