Zile nafasi za kazi zilizotangazwa karibia na uchaguzi mkuu zimeishia wapi?

Bado Hujasema

Member
Joined
Dec 1, 2024
Posts
15
Reaction score
20
Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb uchaguzi umekaribia. Wengi tuliomba na deadline ilikuwa Oktoba 31.

Cha ajabu hatujaitwa kwenye usaili hadi leo. Kwa mfano mimi kada yangu ya Habari nafasi zilitoka 84 nafasi ya afisa habari, nafasi 26 za journalist TBC na nafasi 12 za Producer TBC. Had leo hatujaitwa kwenye usaili.

Ukiacha hilo kuna nafasi zingine za PR za mashirika kama Posta tuliomba tangu Julai hadi leo hatujaitwa usailini. Kuna nini?

Naiomba Sekretariet ya Ajira iwe inatoa taarifa mara kwa mara kuhusiana na hizo post ili angalau tujue kinachoendelea. Hivyo kupitia jukwaa hili tunaomba Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma au wizara husika iseme kitu juu ya hili.
 
Nendeni mkajiajiri hata kama huna mtaji udalali upo!! Ila elimu ya bongo michosho mtu na akil yako timamu unakaa darasan miaka zaid ya 13 then unategemea uje uajiriwe alia buni huu ujinga matako yake
 
Wengi wamejiunga nasi kupiga Kono bao na kukumbatia ukuta.
Funga Uzi tupo site.
 
CCM ni matapeli.
 
Hahaha
 
Nendeni mkajiajiri hata kama huna mtaji udalali upo!! Ila elimu ya bongo michosho mtu na akil yako timamu unakaa darasan miaka zaid ya 13 then unategemea uje uajiriwe alia buni huu ujinga matako yake
Kalagha bahoo
 
Back
Top Bottom