Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,678
- 218,188
Kwa kadiri ya kupenda sifa na kujionyesha kwa awamu ya 5 mbele ya vyombo vya habari , na jinsi tulivyoona Nape akimulikwa kuanzia getini hadi sebuleni huku akibubujikwa na jasho kuonyesha kwamba alitembea umbali mrefu , baadhi ya wadau wameanza kujiuliza kwamba ilikuwaje Ngeleja na January wasipigwe picha hata ya Pasport size ?
Kama hawakwenda , Imekuwaje ishindikane hata kuonyeshwa vipande vya barua walizoandika ili kuomba radhi , hasa ikizingatiwa kiki za kufa mtu za awamu ya 5 ?
Machale yananicheza .
Kama hawakwenda , Imekuwaje ishindikane hata kuonyeshwa vipande vya barua walizoandika ili kuomba radhi , hasa ikizingatiwa kiki za kufa mtu za awamu ya 5 ?
Machale yananicheza .