Ziko wapi picha zinazowaonyesha Ngeleja na January wakiomba Msamaha?

Kwa kadiri ya kupenda sifa na kujionyesha kwa awamu ya 5 mbele ya vyombo vya habari , na jinsi tulivyoona Nape akimulikwa kuanzia getini hadi sebuleni huku akibubujikwa na jasho kuonyesha kwamba alitembea umbali mrefu , baadhi ya wadau wameanza kujiuliza kwamba ilikuwaje Ngeleja na January wasipigwe picha hata ya Pasport size ?

Kama hawakwenda , Imekuwaje ishindikane hata kuonyeshwa vipande vya barua walizoandika ili kuomba radhi , hasa ikizingatiwa kiki za kufa mtu za awamu ya 5 ?

Machale yananicheza .

View attachment 1204966

Usikae uamini chochote akisemacho Meko!

Tena chochote chenye mrengo wa kujipatia sifa binafsi!

Usikae umuamini!

Jamaa ni liongo kama sijui nini!
 
Nina wasiwasi na Nape kutumika kuanzia kwenye sauti mpaka hili LA msamaha.
Na yawezekana Nape alikuwa anajua linalofanyika,sema kuna jambo linatafutwa..
 
Mwenzake Hussein bashe mjanja yeye anakosoa kiuchumi siyo kwa majungu au kukejeri mamlaka.
Huwez kumkejeli Rais hadharani alafu uombe msamaha sirini ,nape alikosea sana ,yule JPM ni kama baba yake ,ajifunze adabu Nape alilelewa vibaya na Kinana
 
ulichoandika hakina mashiko na umeandika bila umakini wa kumsikiliza kwa makini Rais wetu wakati akisema juu ya Makamba na Ngeleja
 
Kwa kadiri ya kupenda sifa na kujionyesha kwa awamu ya 5 mbele ya vyombo vya habari , na jinsi tulivyoona Nape akimulikwa kuanzia getini hadi sebuleni huku akibubujikwa na jasho kuonyesha kwamba alitembea umbali mrefu , baadhi ya wadau wameanza kujiuliza kwamba ilikuwaje Ngeleja na January wasipigwe picha hata ya Pasport size ?

Kama hawakwenda , Imekuwaje ishindikane hata kuonyeshwa vipande vya barua walizoandika ili kuomba radhi , hasa ikizingatiwa kiki za kufa mtu za awamu ya 5 ?

Machale yananicheza .

View attachment 1204966
Barua nayo ni picha?
 
Makamanda wamepagawa sana.Itoshe kujua tu Rais hachezewi.
kama ni hivyo unadhani kwanini waraka wa wazee ulipenya hadi kwenye magazeti na kukiki bila wasiojulikana kustuka ? endelea kujidanganya , ukiwekwa madarakani na kikundi cha watu hutokuwa na ujanja wowote wa kuwazidi
 
Anayepiga magoti ni nani?Nani mjanja kati ya anayepiga magoti na anayepigiwa?
 
Kwa kadiri ya kupenda sifa na kujionyesha kwa awamu ya 5 mbele ya vyombo vya habari , na jinsi tulivyoona Nape akimulikwa kuanzia getini hadi sebuleni huku akibubujikwa na jasho kuonyesha kwamba alitembea umbali mrefu , baadhi ya wadau wameanza kujiuliza kwamba ilikuwaje Ngeleja na January wasipigwe picha hata ya Pasport size ?

Kama hawakwenda , Imekuwaje ishindikane hata kuonyeshwa vipande vya barua walizoandika ili kuomba radhi , hasa ikizingatiwa kiki za kufa mtu za awamu ya 5 ?

Machale yananicheza .

View attachment 1204966
Wakanushe basi
 
iko wapi hiyo barua ?
🤣🤣🤣🤣🤣
Anayo aliyeandikiwa. Siasa zina mambo ya vichekesho kuliko comedy. As people go and work in the morning, politicians also do work. And one of their typical work is this....show me this...or am happy today the government has failed on this...or tell me why the wife of so and so is not with him at this event. Politics.
 
Back
Top Bottom