Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
Kazi ya akina Mahela ni kuwahoji wale vijana wa bodaboda na wahuni wasio na kazi
 
Toka kampeni zimeanza ITV imekuwa ina report bila upendeleo, vituo kama TBC na Star TV ni hovyo kabisa
Hongereni sana ITV
 
mdau haya maandishi ungeyaandika kipindi cha kampeni maana TBC na STAR TV zote mpaka taarifa za habari hawakumuonyesha mamvi au sheria haiwahusu wao? tutende haki bana ZNZ matokeo yashajulikana but mpaka sasa hayajatangazwa unajua kwa nn? ndo hapo ITV wanapoingia kuchimbua kwa nn n they deserve to be SUPER BRAND
Well said, StarTV walimleta mpaka mtu anayejiita Kinje
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
Wivu tu
 
Nakushauri u cheki malaria...msimu mbaya huu....
(iwahi kabla haijakupanda kichwani)
 
Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.[/QUO
Mdau naona imekuuma ndio maana ikaitwa ITV na sio TBC hizi ni zama za uwazi na si kuficha ficha mambo wanataka watanzania wote waelewe mbivu na mbichi mimi sioni kama kuna tatizo afterall wanastahili pongezi kwa kazi ambayo imewashinda TBC na vyombo vingine ambavyo viko biased zaidi sijaona vikitumika kufanya kampeni kwa vyama vingine kama si zaidi sana kwa chama tawala.
 
Nikitaka mbwembwe na matukio naenda Itv, nikitaka habari na Data ni Azam two.

Yule Mzee Masako ndio kabisa hafichi mahaba yake kwa Ukawa.
 
We mleta topic ni mjinga mkubwa. Hivi inavyofanya TBC na STAR TV ni vema? ITV wanakosa gani hasa? Kwani vurugu hazistaili kuonekana? Think twice
 
Nahisi hata ww una Mapungufu kidogo ungeanza TBC kwanza.Hata hivyo mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
 
Back
Top Bottom