kwa mara ya kwanza report ya itv imereport habari ya ushindi kwa ccm mbinga mjini baada ya mimi kuandika hapa habari hiyo imeruka mida hii ya saa 14;00-14;10 hii ni aibu sana kwa chombo kikubwa. mnaleta mahaba kwa taifa haya nimakosa kisheria na taratibu za vyombo vya habari.
mdau haya maandishi ungeyaandika kipindi cha kampeni maana TBC na STAR TV zote mpaka taarifa za habari hawakumuonyesha mamvi au sheria haiwahusu wao? tutende haki bana ZNZ matokeo yashajulikana but mpaka sasa hayajatangazwa unajua kwa nn? ndo hapo ITV wanapoingia kuchimbua kwa nn n they deserve to be SUPER BRAND
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.
ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.
Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!
Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.
![]()
Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.
Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.
Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.
Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?
Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!
ITV naomba Mjirekebishe!
Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
Huu ni ukweli mtupu. Reporting ya akina Sam Mahela inaboa sana. Wajifunze kutoka Azam News -very profesdional (sawa sawa na ccn, BBC n.k

Huyu jamaa alitaka hata matukio ya watu wa Kimara kutopiga kura yasionekane wala kujulikana na watanzania wenginePunguza mahaba wewe..... ITV wanarusha matangazo 24 hrs... Umefuatilia kwa muda gani!???? Acheni uchonganishi na kuwaaribu watu.... Muda huu wanarusha habari zenu... Vipi ulalame.... Aya kacheki tbc na star basi...